Kwanini bidhaa nyingi zinaandikwa neno halal kwa lugha ya kiarabu na imechorwa msikitini kwani nchi yetu ni ya kiarabu? Au nchi yetu ni ya kidini?

halaaaaal yaaa habibiiii

halaal

inamaanisha makafiri/wakiristo kaeni pembeni
 
Mnalalamika sana wakristo
 

Kuna zingine zimeandikwa "JAMUKAYA" kwani hii nchi ni ya wasukuma?

Pascal Mayalla au nasema uongo?
 
Ila watu mna chuki sana jman, duh, punguzeni hata kdg,
Haya mbona bidhaa nyingi mno zina andikwa maneno ya kizungu, kwani sisi ni wazungu ?? Je hujaona bidhaa ambazo zimeandikw maneno ya kichina ?? Sisi ni wachina ??
 
Watu wanaongozw na wivu na chuki za kidin, ko wala usiumize kichw sana
 
Yaani uislamu unapigwa vita sana

Kuna wapumbavu wanaandika vitu hata hawajui ili mradi washapata point ya kuuongelea vibaya uislamu.

HALAL ni shirika la kimataifa , mfano wa TBS kwa Tanzania

Lenyewe linadeal na standard za bidhaa kwa sheria ya kiislam

Mfano kwa wanaotumia bidhaa za forever zina hiyo nembo

Ikiwa bidhaa za forever zinatengenezwa Marekani na zinatumika worldwide zina hiyo alama halafu anatokea mlevi mmoja wa mataputapu anakuja kuandika uharo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…