PUFF DADDY
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 391
- 803
halaaaaal yaaa habibiiii
halaal
inamaanisha makafiri/wakiristo kaeni pembeni
halaal
inamaanisha makafiri/wakiristo kaeni pembeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnalalamika sana wakristoYaani kwa bidhaa nyingi sana naziona zimeandikwa halal kwa lugha ya kiarabu na huku umechorwa msikiti kwa maana kwamba nchi hii ni ya kidini na ya kiarabu au nchi hii imeuzwa kwa waarabu mbona hata sielewi au nyingi wenzangu hamjawahi kukutana nazo?
Ila bidhaa za nguruwe sijawahi kuona kabisa naona nyama yao zile za viwandani hazijaandika kwamba sio halali na sijui kwanini tutaendelea kula kitu ambacho hata nchi haijadhibitisha kwamba sio halali na ni kweli nguruwe sio halali we endelea kula upate minyoo aina ya Ascaris lumbicodiea alisikika mlevi fulani
We umevuka mipaka inatakiwa utiwe adabuMnatawaliwa na juha unategemea nini?
Yaani kwa bidhaa nyingi sana naziona zimeandikwa halal kwa lugha ya kiarabu na huku umechorwa msikiti kwa maana kwamba nchi hii ni ya kidini na ya kiarabu au nchi hii imeuzwa kwa waarabu mbona hata sielewi au nyingi wenzangu hamjawahi kukutana nazo?
Ila bidhaa za nguruwe sijawahi kuona kabisa naona nyama yao zile za viwandani hazijaandika kwamba sio halali na sijui kwanini tutaendelea kula kitu ambacho hata nchi haijadhibitisha kwamba sio halali na ni kweli nguruwe sio halali we endelea kula upate minyoo aina ya Ascaris lumbicodiea alisikika mlevi fulani
Ila watu mna chuki sana jman, duh, punguzeni hata kdg,Yaani kwa bidhaa nyingi sana naziona zimeandikwa halal kwa lugha ya kiarabu na huku umechorwa msikiti kwa maana kwamba nchi hii ni ya kidini na ya kiarabu au nchi hii imeuzwa kwa waarabu mbona hata sielewi au nyingi wenzangu hamjawahi kukutana nazo?
Ila bidhaa za nguruwe sijawahi kuona kabisa naona nyama yao zile za viwandani hazijaandika kwamba sio halali na sijui kwanini tutaendelea kula kitu ambacho hata nchi haijadhibitisha kwamba sio halali na ni kweli nguruwe sio halali we endelea kula upate minyoo aina ya Ascaris lumbicodiea alisikika mlevi fulani
Watu wanaongozw na wivu na chuki za kidin, ko wala usiumize kichw sanaBidhaa za halal au zilizoandikwa Halal kwa kiarabu zipo sehemu nyingi duniani na hakuna anaelalamika bali ni biashara zaidi
Hata Supermarkets za Ulaya zipo bidhaa hizo za Halal ili kuvutia wateja wa kiislam
Ni kawaida sana boss wala haina shida kabisa
Kwanza nikiona hiyo alama ninakuwa na amani
Kuhusu Kuku hapa UK wengi sana ni Halal mpaka mzungu anakuambia this is Halal 😄 🤣