kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Bila nguo hakuna uzuri wowoteMods please msifute
Binadamu akiwa utupu kabisa anatisha sana....yaani huwezi kumtamani kumuangalia wala kumtamani...
Ila akivaa nusu utupu....anatokelezea sana,anashawishi kuendelea kumuan galia.
Hii ni kwa sababu gani
Mfano wavulana/,wanaume tukivaa vest na bukta
Wadada nao wakivaa shorts zao zile wanapendeza hatari kuliko wakiwa full naked