Kwanini binadamu akiwa utupu havutii kabisa kama akiwa nusu utupu

Kwanini binadamu akiwa utupu havutii kabisa kama akiwa nusu utupu

Mods please msifute


Binadamu akiwa utupu kabisa anatisha sana....yaani huwezi kumtamani kumuangalia wala kumtamani...

Ila akivaa nusu utupu....anatokelezea sana,anashawishi kuendelea kumuan galia.

Hii ni kwa sababu gani


Mfano wavulana/,wanaume tukivaa vest na bukta

Wadada nao wakivaa shorts zao zile wanapendeza hatari kuliko wakiwa full naked
Bila nguo hakuna uzuri wowote
 
Kwa mfano?
Kwa mfano?
Mfanoa angalia hata wachawi wanapokamatwa wanakuwa uchi..lakini huwezi kabisa kumpenda,au kumtamani japo anaweza kuwa mzuri....

Lakini akiwa amevaa chup* au khanga tu...anatokelezea.

kama ni wavulana tukiwa kifua waz nasikia tunawadatisha sana wadada..... Ila sasa baki mtupu kabisa na mkunyenye tu uone utakavokimbiwa na watu
 
Back
Top Bottom