Kwanini binadamu na wanyama wote wakiwa wanakata roho hutapatapa?

Kwanini binadamu na wanyama wote wakiwa wanakata roho hutapatapa?

wenye mashetani ndo hufa kwa kutaabika, Aliyefanya mema duniani, hafi kwa kutaabika,
mf; fuatilia kifo cha watu waliobahatika kula chumvi nyingi kifo chao huwa sio cha kutaabika,
Huwa ni ghafla saa nne za asubuhi anakwambia nishike kidogo mjukuu wangu mimi naondoka.alafu
anakufa.
 
Mkuu Bujibuji umefika mbali sana swala la kufa ni gumu kuelezea kwasababu halina majaribio
Labda kuna wataalam watusaidie
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Jiulize hivi pia. KwanIni wanyaMa au BinaDAmu ujikaza ua husismka pale wafikapo kileleni. Nafikir utApata jibu lako
 
Miili ya wanyama ina umeme hivyo hali hiyo inatokana na short circuit!!!! i.e. shughuli nzima ipo kwenye nervous system ambako hiyo short circuit inatokea! Sijawahi kuona short ya umeme inatokea kimya kabisa - lazima cheche na kutawanya shock waves!!!
 
Da! Mie sina jibu ila nifikilia kuwa pumzi huwa inakata hivyo kuangaika ni muhim but tumwachie mwenyezi mungu mimi na wewe hatuna jibu maana kila anayetangulia harudishi ripoti
 
Kukatika kwa pumzi husababisha vitu vingi mwilini kupigania kujiweka sawa kutokana na kile kidogo kinachopatikana kwa muda ule. Kwa maana ya oksijeni ambayo husafirishwa hadi kwenye ubongo pamoja na damu. Mapigo ya moyo kuongezeka kasi, kuona mauza mauza, kupelekea kutapatapa hadi kuzimika kabisa.
 
Nafikiri ni ule woga wa kujua unakufa, hujui nini kinafuata na wapi unaenda, hivyo unakuwa 'unapigana' na anayetaka kuichukua hiyo roho yako akuachie.
 
hata samaki ukimtoa majini anatapatapa
 
Kuna mtu aliniambia marehemu wengi hukutwa na vinyesi wakienda kuoshwa mochwari
 
Kifo kifikapo lazima utaabike na kuhangaika sana
. Je hali Hii kwa nini hutokea?

Wakati kiumbe kinakufa kuna kuwa hakuna mawasiliano thabit na ubongo, so ubongo unashndwa ku sync ni action zipi au kipi kifanyike ili kuweza ku organise kazi za mwili kama ilivyo. So kukatika huko kwa mawasiliano inapelekea mwili kufanya kazi bila mpangilio, mitetemeko inatokea, muscle ambazo hutegemea maamuzi ya ubongo kuwa kwa state ya flan hujiachia utakuta mkojo na kinyesi kimeruhusiwa pia
 
Best asnswer of all the time
 
Mkuu Bujibuji umefika mbali sana swala la kufa ni gumu kuelezea kwasababu halina majaribio
Labda kuna wataalam watusaidie

wataalamu a nini mkuu wa kifo au wa kukata roho?
nahisi hili swala halina mtaalamu maana hata kifo chenyewe ni ngumu kikieleza na kukielewa

na kama tutapata majibu ya kifo kinakuwajekuwaje basi tutaweza kujibu maswali mengine mengi pamoja na hili la kwa nini wakata roho au wafaji hutapatapa je kifo kinauma au ni ubishi wao wa kutokukubali kwenda wakati wakati wao umefika!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom