Shedrack mpepo
Member
- Nov 23, 2014
- 11
- 1
mh sielewi hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka kwa roho na uchungu wake ndiko kunako mfanya mtu ahangaike Kutokana na kazi anayofanya Malaika Mtoa roho kutoa roho na inategemea na matendo ya mtu kuna watu wengine maiti zao hukutwa uvunguni mwa kitanda kwa kuhainga na kutapatapa
kwa hio kama kafanya mema tukamchinja anakufa bila kutapatapa?wenye mashetani ndo hufa kwa kutaabika, Aliyefanya mema duniani, hafi kwa kutaabika,
mf; fuatilia kifo cha watu waliobahatika kula chumvi nyingi kifo chao huwa sio cha kutaabika,
Huwa ni ghafla saa nne za asubuhi anakwambia nishike kidogo mjukuu wangu mimi naondoka.alafu
anakufa.
Thank you for informing us/wenye mashetani ndo hufa kwa kutaabika, Aliyefanya mema duniani, hafi kwa kutaabika,
mf; fuatilia kifo cha watu waliobahatika kula chumvi nyingi kifo chao huwa sio cha kutaabika,
Huwa ni ghafla saa nne za asubuhi anakwambia nishike kidogo mjukuu wangu mimi naondoka.alafu
anakufa.
Kwanini unawazia kuchinja watu?kwa hio kama kafanya mema tukamchinja anakufa bila kutapatapa?
Kumbe kuna kiumbe kinaishi ndani ya mwili. Unaweza tuambia hiki kiumbe kinacho ishi ndani ya mwili ni kipi?lazima kutapatapa kwa sababu kiumbe kinabadilisha mfumo wake wa kuishi ..kwa hyo mwili bado unahitaji kupata ATP kama kawaida ..na kadri spidi ya kutapatapa inapokua kubwa ndo energy (ATP) inaisha haraka
Kwasababu Binadamu aliumbwa kuishi milele ndani ya mwili. Chaguo hilo la kuishi milele katika mwili au kuto ishi milele katika mwili ilikuwa ni Adam's responsibility to decide, for himself and for you, to wit.Kifo kifikapo lazima utaabike na kuhangaika sana
. Je hali Hii kwa nini hutokea?
Kifo kifikapo lazima utaabike na kuhangaika sana
. Je hali Hii kwa nini hutokea?
Hakika uko sahihi, lakini sijadanganyasio lazima utaabike na kuhangaika sana,, unachosema si kweli
Tungekuwa tunaishi milele, ardhi ingekuwa inaongezeka? ukipatwa na ajali ya moto kusingekuwa na kuteketea? Ukizama majini e???Kwasababu Binadamu aliumbwa kuishi milele ndani ya mwili. Chaguo hilo la kuishi milele katika mwili au kuto ishi milele katika mwili ilikuwa ni Adam's responsibility to decide, for himself and for you, to wit.
Tungekuwa tunaishi milele, ardhi ingekuwa inaongezeka? ukipatwa na ajali ya moto kusingekuwa na kuteketea? Ukizama majini e???
kuna myth inasema ukiwa mcha mungu wala hutakata roho kwa kutapatapa sasa sijui hata ukikatwa panga huku unatembea pia hutatapatapa kama ww mcha mungu?? by the way ninachojua sababu ya kutapatapa ni kuwa mwili unakuwa bado una nguvu na unakata roho kwa kutapatapa ikiwa tu kuna kiungo muhimu kimeharibika but ukiwa umeugua kwa muda mrefu plus kuzeeka huwezi kutapatapa sana