Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
THE NEW BEGININGMiili ya wanyama ina umeme hivyo hali hiyo inatokana na short circuit!!!! i.e. shughuli nzima ipo kwenye nervous system ambako hiyo short circuit inatokea! Sijawahi kuona short ya umeme inatokea kimya kabisa - lazima cheche na kutawanya shock waves!!!
Kifo kifikapo lazima utaabike na kuhangaika sana
. Je hali Hii kwa nini hutokea?
Best asnswer of all the timeWakati kiumbe kinakufa kuna kuwa hakuna mawasiliano thabit na ubongo, so ubongo unashndwa ku sync ni action zipi au kipi kifanyike ili kuweza ku organise kazi za mwili kama ilivyo. So kukatika huko kwa mawasiliano inapelekea mwili kufanya kazi bila mpangilio, mitetemeko inatokea, muscle ambazo hutegemea maamuzi ya ubongo kuwa kwa state ya flan hujiachia utakuta mkojo na kinyesi kimeruhusiwa pia
Kila mtu anakaribia kufa, sema hatujui siku wala saaBujibuji, unakaribia kufa nini?
Kiipute ku kyaliki kikolo, gwatile kwiputa kubhasisimikisi? Ungalalamukagha mundumbula jhako, kunyumba jha Tata pingi pa bhujho. U Jesu ajhobhile...!!Kila mtu anakaribia kufa, sema hatujui siku wala saa
Mkuu Bujibuji umefika mbali sana swala la kufa ni gumu kuelezea kwasababu halina majaribio
Labda kuna wataalam watusaidie