Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

Mfumo wa damu wa mamba and reptiles ni the same (closed double looped) but still wanataga,, the same kwa avian and they evolved waay back before mamals
Sizungumzi hayo. Nazungumzia jinsi mfumo wa damu ulivyoevolve hadi ufae kufanya exchange kwenye placenta. Hii inaonyesha mifumo inaevolve kwa kutegemeana, kitu ambacho unapinga.
 
Having a closed system circulation of blood,, ili evolve waaay back hata kabla ya wazo la placenta halijakuwepo, closed system ime evolve tangu paleozoic era lakini tumepata hao wanaozaa nadhan on cenozoic era miaka zaidi ya milion 2 iliyopita,, wakat hyo closed iko more than 550 yrs ago huko cambian period
 
Hebu labda mm sijaelewa,,, zaidi ya development of 4 chambers nini zaidi mfumo wa damu ume evolve ambacho kinafavor exchange ya kwenye placenta?
 
Kuzaa hakujaanza miaka 2m iliyopita hapo ni juzi tu. Na hata kama mfumo wa damu ulianza, lakini ulihitaji kuevolve kukidhi matakwa ya placenta. Na mfumo wa uzazi ulihitaji kuevolve kuweza kupokea nutrients kwenye placenta wakati mtoto anakua.
 
Vascular system ilibidi ipate placenta ili kussupport mtoto anayekua. Inaonyesha kuwa system zinaevolve kusave zingine. Kitu unachopinga?
 
Una uhakika??
 
The earliest known mammals were the morganucodontids, tiny shrew-size creatures that lived in the shadows of the dinosaurs 210 million years ago
 
Vascular system ilibidi ipate placenta ili kussupport mtoto anayekua. Inaonyesha kuwa system zinaevolve kusave zingine. Kitu unachopinga?
The Evolution of the Placenta
R Michael Roberts, Jonathan A Green, and Laura C Schulz

Kasome hii article then uje urekebishe ulichokiandika
 
Mkuu kama huna cha kuchangia soma tu.
Unanipangia cha kuchangia mkuu?

Sipati picha, tray ya mayai ya wanaotoka Bukoba au Singida daah.

Kuna vitu huwa vinatokeaga ktk mawazo ya binadamu vinakupa muelekeo namna alivyo
 
The transition from oviparity to viviparity and the subsequent emergence of placentation within some vertebrate taxa clearly required major changes in the morphology and physiology of the reproductive tract

Na sio changes in vascular system
 
Niliandika nikafuta nikaandika tena nikafuta,
Mkuu jaribu kuwa na hofu kidogo na aliyekuumba (Mungu - Kwa sisi tunaoamini uwepo wake na kwamba ndiye aliyetuumba) aliona faida ya wewe kuzaliwa kwa mfumo wa ujauzito na siyo kutagwa. Napendekeza kwako kwamba siyo kila unachokiwaza ukilete hapa JF.
 
Hapana. Lakini kama huna uelewa nayo ni vyema ukasoma tu.
 
Niliandika nikafuta nikaandika tena nikafuta,
Mkuu jaribu kuwa na hofu kidogo na aliyekuumba (Mungu - Kwa sisi tunaoamini uwepo wake na kwamba ndiye aliyetuumba) aliona faida ya wewe kuzaliwa kwa mfumo wa ujauzito na siyo kutagwa. Napendekeza kwako kwamba siyo kila unachokiwaza ukilete hapa JF.
Mungu anaingiaje hapa? Unajipendekeza akuone mwema!!
 
Kwasababu Binadamu ni Mamalia. Ukitaka Atage ni sawa na Tembo nae Atage ushawaza Yai la Tembo litakuwaje na ataliatamiaje kulipa Joto mpaka litotoe?

Pia kumbuka, viumbe wanaotaga hawatagi Yai 1 ni Mayai. Sasa uwe unafikiria cha kuandika humu ndugu.
Hili jibu lako nina mashaka nalo.. Nilishawahi sikia kuna nyoka wanataga mayai na wengine wanazaa... Sasa kwenye umamalia sielewi
 
The transition from oviparity to viviparity and the subsequent emergence of placentation within some vertebrate taxa clearly required major changes in the morphology and physiology of the reproductive tract

Na sio changes in vascular system
Unafahamu kuwa placenta ni vascular organ?
 
Back
Top Bottom