Wandugu habari kuna kitu katika uwekezaji ( investment portifolio) kinashauriwa kuwa nacho ni kuwekeza katika channel mbalimbali zinazoweza kukuletea kipato (Positive Cashflow).
Katika kuangalia na kutafuta information kwa miaka kama mitatu nilikuwa naangalia Options market nilianza na za stocks hizi zikawa gali kidogo, nikaenda za Fx za siku mpaka wiki pure options sikupata mafanikio, nikatembelea commodity na crude nayo ikawa crude kweli.
Ila recent nimejikita zaidi kwenye binary options na haya ndio niliyoyagundua kuwa hii inaweza kuwa moja ya channel ila usiinde zile za sekunde 15 mpaka dakika moja chukua ya kuanzia dakika 8 mpaka masaa mawili na kama trading nyingine trend is your friend na hasaVIX ndio nzuri zaidi.
Pili usipende zile percent kubwa 94% zinazotolewa ikiwa imexpire upande wako chukua 20 to 25 gani itakusaidia kwa akaunti yako kukuwa. Tengeneza muda usiozidi masaa mawili tu kwa siku kwa ajili ya kutrade kwa kuwa hii kitu inatrade 24 hrs 7days a week ni rahisi sana kutaka kutrade muda mrefu kwa wale tuliofanya trade tunaelewa hii kitu inakufanya usiwe focus on you work.
Nne unaweza kutrade kuanzia na dollar 1 na lowest stake ya options ni$.35 cents learn and try. Tano soma na uwelewe nimeinvest total ya miaka 15 kwenye trading generality miaka mitatu kwenye options mbalimbali ukitaka mafanikio soma hakunaga professional duniani ambayo inafanya maajabu bila kuchukuwa muda wa kuwekeza unapokaa kwenye ofisi ya daktari anatatua tatizo lako kwa dakika tano amekeza miaka isiyopungua 20 katika kujisomea sasa kwanini utake mambo kirahisi.
Tahadhari trading sio kwaajili ya kila mtu wala usione vibaya kama haikufai na wala uipendi maana tumeumbwa tofauti kila mtu anakitu chake anachoweza kufanya vizuri focus kwenye hicho.
Kwa wale wenye maswali nitakuwa napitia na kuelewesha ila mimi natamani fanya demo sana ukiona umeweza kuipandisha account yako ya demo mara tatu ndio ufungue live na usizidishe $20 na chukua position ya $.35 to 0.90 tu kwenye kila position. Baada ya watu wengi kuniomba pm nirecommend broker ambao naona wana option unaweza kuclick hapa kupata demo account na baadaye ukiwa fit deposit kwa njia zilizopo nafikri kwa sasa wana hata local options za fedha za mtandao.