Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

Asante kwa ufahamu huo. ila lipi ni chaguo bora kati ya Forex, bitcoin na Deriv?
Hapo umechanganya instruments tofauti yaani products Forex na bitcoin ni bidhaa wakati Deriv ni broker yaani kampuni inayokuwezresha kufanya miamala.
 
Kwa habari hii tuko karibu sana kuanza matumizi sasa jipe maarifa zaidi kuhusu hili jambo
1673788291266.png
 
Ni ma-BROKER gani wa BO ambao wako reliable, yaani hata ukipiga hela kwao haitokuwa ishu maana katika tafiti yangu ndogo nimesikia kuwa kuna wale ambao ukiwa unakula sana wanakupiga pini...
Broker mzuri wa binary Option Trading ni

@. Olymp trade
2. Deriv
3. Iq option
4. Quotex
 
Ni ma-BROKER gani wa BO ambao wako reliable, yaani hata ukipiga hela kwao haitokuwa ishu maana katika tafiti yangu ndogo nimesikia kuwa kuna wale ambao ukiwa unakula sana wanakupiga pini...
Kuana broker wawili ninaowapenda ila huyu hapa ndio sasa yuko kwenye chart Click hapa upate $10,000 za demo ukiona uko vyema zaidi endelea kufungua live trading account kwa kubovya hapa na ukpenda kutumia kwenye simu BONYEZA HAPA
 
Back
Top Bottom