- Thread starter
- #21
Hapo umechanganya instruments tofauti yaani products Forex na bitcoin ni bidhaa wakati Deriv ni broker yaani kampuni inayokuwezresha kufanya miamala.Asante kwa ufahamu huo. ila lipi ni chaguo bora kati ya Forex, bitcoin na Deriv?