Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
494
Reaction score
522
Wandugu habari kuna kitu katika uwekezaji ( investment portifolio) kinashauriwa kuwa nacho ni kuwekeza katika channel mbalimbali zinazoweza kukuletea kipato (Positive Cashflow).

Katika kuangalia na kutafuta information kwa miaka kama mitatu nilikuwa naangalia Options market nilianza na za stocks hizi zikawa gali kidogo, nikaenda za Fx za siku mpaka wiki pure options sikupata mafanikio, nikatembelea commodity na crude nayo ikawa crude kweli.

Ila recent nimejikita zaidi kwenye binary options na haya ndio niliyoyagundua kuwa hii inaweza kuwa moja ya channel ila usiinde zile za sekunde 15 mpaka dakika moja chukua ya kuanzia dakika 8 mpaka masaa mawili na kama trading nyingine trend is your friend na hasaVIX ndio nzuri zaidi.

Pili usipende zile percent kubwa 94% zinazotolewa ikiwa imexpire upande wako chukua 20 to 25 gani itakusaidia kwa akaunti yako kukuwa. Tengeneza muda usiozidi masaa mawili tu kwa siku kwa ajili ya kutrade kwa kuwa hii kitu inatrade 24 hrs 7days a week ni rahisi sana kutaka kutrade muda mrefu kwa wale tuliofanya trade tunaelewa hii kitu inakufanya usiwe focus on you work.

Nne unaweza kutrade kuanzia na dollar 1 na lowest stake ya options ni$.35 cents learn and try. Tano soma na uwelewe nimeinvest total ya miaka 15 kwenye trading generality miaka mitatu kwenye options mbalimbali ukitaka mafanikio soma hakunaga professional duniani ambayo inafanya maajabu bila kuchukuwa muda wa kuwekeza unapokaa kwenye ofisi ya daktari anatatua tatizo lako kwa dakika tano amekeza miaka isiyopungua 20 katika kujisomea sasa kwanini utake mambo kirahisi.

Tahadhari trading sio kwaajili ya kila mtu wala usione vibaya kama haikufai na wala uipendi maana tumeumbwa tofauti kila mtu anakitu chake anachoweza kufanya vizuri focus kwenye hicho.

Kwa wale wenye maswali nitakuwa napitia na kuelewesha ila mimi natamani fanya demo sana ukiona umeweza kuipandisha account yako ya demo mara tatu ndio ufungue live na usizidishe $20 na chukua position ya $.35 to 0.90 tu kwenye kila position. Baada ya watu wengi kuniomba pm nirecommend broker ambao naona wana option unaweza kuclick hapa kupata demo account na baadaye ukiwa fit deposit kwa njia zilizopo nafikri kwa sasa wana hata local options za fedha za mtandao.

Trend is your friend.JPG

Understand market fi.JPG
 
Watu wengi wanatrade kwa ajili ya maisha hawafanyi trade moja tu wanadiversfy na hii ni moja na hizo instrument za kufanya diversification. Na kama unajuwa wanaofanya long term forex ndio wanaofanikiwa ujue kwenye arsenal yake ana options vilevile. Hili ndio lengo langu kukuwezesha kufikiria other channel na kuongeza wigo.

Sijaona traders wakiwa succesful kupitia binary option wengi wao wanatoboa kupitia pure forex
 
Neno kubwa kwenye hiyo post ni kanuni ya kuwekeza katika channel mbalimbali ambazo ni endelevu kwa muda mrefu

Ollachuga Oc,
 
Nakushauri anza kwa kuisoma na kuifuatilia maana mara nyingine au siku nyingine fx inakuwa slow ikiwa na alternative unaendelea kupiga hela na kuna vitu kama BOT au automatic trades zinaweza kukusaidia kwa kiasi fulani katika kupambana na kuongeza kipato

godimpare,
 
Ni ma-BROKER gani wa BO ambao wako reliable, yaani hata ukipiga hela kwao haitokuwa ishu maana katika tafiti yangu ndogo nimesikia kuwa kuna wale ambao ukiwa unakula sana wanakupiga pini...
 
Ni ma-BROKER gani wa BO ambao wako reliable, yaani hata ukipiga hela kwao haitokuwa ishu maana katika tafiti yangu ndogo nimesikia kuwa kuna wale ambao ukiwa unakula sana wanakupiga pini...
Mpaka sasa pamoja na wengi walioko bado naona www. Binary.com wako vema click hapa kwa kuanza hata kwa demo accounts ujionee
 
Ni ma-BROKER gani wa BO ambao wako reliable, yaani hata ukipiga hela kwao haitokuwa ishu maana katika tafiti yangu ndogo nimesikia kuwa kuna wale ambao ukiwa unakula sana wanakupiga pini...
Naaendelea kuwaamini binary.com wameongeza na hata local njia kwa kutumia local agent unapata hela yako baada ya dakika 2 to 5 wako vyema
 
Naaendelea kuwaamini binary.com wameongeza na hata local njia kwa kutumia local agent unapata hela yako baada ya dakika 2 to 5 wako vyema
hivi hiyo mambo ya kupigiga hela mtandaoni ikoje?
mala utasikia FOREX, BITCOIN na sasa nakutana na BINARY OPTIONS.
Nini maana harisi ya BINARY?
 
hivi hiyo mambo ya kupigiga hela mtandaoni ikoje?
mala utasikia FOREX, BITCOIN na sasa nakutana na BINARY OPTIONS.
Nini maana harisi ya BINARY?
Binary maana yake ni kitu chenye matokeo mawili kwahiyo unaanzia option ukiwa unachagua mfano kushuka au kupanda ndani ya dakika labda saba au kumi. So ukiwa sawa unakuwa umewin ukipoteza ukiwa chini unakuwa umeloss all.
 
Kuna broker wa binary option anatoa mzigo kwa simu uani tigo pesa mpesa na airtel money!!!? Tuanzie hapa maana binary ni gamblin naona ni bora kuliko dubu la mchina
 
Kati ya IQ option na Expert option nani yupo vizuri na changamoto zao ni zipi!!? Wewe je unatumia app gani kwenye hilo zoezi
 
Binary maana yake ni kitu chenye matokeo mawili kwahiyo unaanzia option ukiwa unachagua mfano kushuka au kupanda ndani ya dakika labda saba au kumi. So ukiwa sawa unakuwa umewin ukipoteza ukiwa chini unakuwa umeloss all.
Asante kwa ufahamu huo. ila lipi ni chaguo bora kati ya Forex, bitcoin na Deriv?
 
Back
Top Bottom