Hapo umechanganya instruments tofauti yaani products Forex na bitcoin ni bidhaa wakati Deriv ni broker yaani kampuni inayokuwezresha kufanya miamala.Asante kwa ufahamu huo. ila lipi ni chaguo bora kati ya Forex, bitcoin na Deriv?
Hao jamaa ni brokers au! Mbona kama wana access na platform kama 8 tofauti!!? Ipi ni best!!? Na zinatofautiana vipi hizo platform! Wanatoa pesa kwa line zetu za simu au!!?Haw nilishawatumia ila kwa sasa naona DERIV ni kiboko yao click hapa ujiunge demo na kama unataka kujifunza mambo mengine tembelea hapa
Broker mzuri wa binary Option Trading niNi ma-BROKER gani wa BO ambao wako reliable, yaani hata ukipiga hela kwao haitokuwa ishu maana katika tafiti yangu ndogo nimesikia kuwa kuna wale ambao ukiwa unakula sana wanakupiga pini...
Kuana broker wawili ninaowapenda ila huyu hapa ndio sasa yuko kwenye chart Click hapa upate $10,000 za demo ukiona uko vyema zaidi endelea kufungua live trading account kwa kubovya hapa na ukpenda kutumia kwenye simu BONYEZA HAPANi ma-BROKER gani wa BO ambao wako reliable, yaani hata ukipiga hela kwao haitokuwa ishu maana katika tafiti yangu ndogo nimesikia kuwa kuna wale ambao ukiwa unakula sana wanakupiga pini...