Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Na azam usiseme uwiiWazee wa kujiendekeza Clouds Media ndio wameshikilia bango kama kawaida yao.
Lissu kaleta homa mjini.Yaani kuanzia huku mtaani mpaka huko kwenye mitandao ya kijamii huoni watu wa kawaida wakimtakia heri katika birthday yake leo, ukiacha wale watu maarufu kama akina Kitenge wanaojua kujiposition ndio wameonekana walau kupost wishes. Kwanini hali iko hivyo?
Wote twende ikuluMtoa thread ulitaka iweje? Ifanyike mlimani city na red carpet