Kwanini birthday ya leo imedoda?

Kwanini birthday ya leo imedoda?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Yaani kuanzia huku mtaani mpaka huko kwenye mitandao ya kijamii huoni watu wa kawaida wakimtakia heri katika birthday yake leo, ukiacha wale watu maarufu kama akina Kitenge wanaojua kujiposition ndio wameonekana walau kupost wishes. Kwanini hali iko hivyo?
 
Mmesema imedorora hapo hapo mnasema Kuna watu wameishikilia bango....
Mlitakaje! Mbona miaka yote birthday za viongozi hupostiwa na watu maarufu na Kama kawaida leo nimeona amepostiwa tu.
Acheni nongwa basi!
 
Yaani kuanzia huku mtaani mpaka huko kwenye mitandao ya kijamii huoni watu wa kawaida wakimtakia heri katika birthday yake leo, ukiacha wale watu maarufu kama akina Kitenge wanaojua kujiposition ndio wameonekana walau kupost wishes. Kwanini hali iko hivyo?
Lissu kaleta homa mjini.
 
Unataka tufanyeje na maisha yalivyotubana namna hii!??
[emoji848][emoji848]
 
Kwa hiyo siku nzima umeshinda mitandaoni kuzitafuta post za birthday? Yani hilo tu?
 
Chawa wameumia kuitwa chawa hadharani walitamani jina litumike kwa tafsida
 
Back
Top Bottom