Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Yaani kuanzia huku mtaani mpaka huko kwenye mitandao ya kijamii huoni watu wa kawaida wakimtakia heri katika birthday yake leo, ukiacha wale watu maarufu kama akina Kitenge wanaojua kujiposition ndio wameonekana walau kupost wishes. Kwanini hali iko hivyo?