Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Muonekano wake ipo Kama X6 imekaa vizuri Sana.Upo sahihi Mkuu X 4 ni gari na pia ina nafasi sana ndani uikute 2.0d ni mambo mengine hapo...
Ni gari nzuri ipo comfortable na ina nguvu pia...zipo bei ghari kidogo ndio maana hazipo nyingi mtaani...Muonekano wake ipo Kama X6 imekaa vizuri Sana.
Vp kuhusu X7Hauko serious, kwa hiyo Pacha wake X5 sio gari???
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Basi hujui magari wewe, maana tofauti ya X5 na X6 ni Coupe line tu ya X6, maana specs karibu zote zinafanana, hata interior copy copy.X5 ni kifaa sio gari
Sidhani hata kama anajua kama kuna X7Vp kuhusu X7
ukiweka photo uniiteWakuu Habari.
Nimetembelea tovuti za kampuni maarufu za kuagiza magari kutoka Japani kama Beforward, SBT, AUTOCOM na AUTOREC.
Kote huko nimeona miongoni mwa magari ya kampuni ya BMW (X3 naX5) ambayo wameyalist kama yanayonunuliwa sana.
Lakini mimi nimevutiwa na X1 ambayo pia hata bei zake sio kubwa sana.
Naomba kujuzwa zaidi juu gari hii ya BMW X1 hasa model ya 2010 mpaka 2012 au kwa ujumla.
Sema wewe utakua umeiona X6 tuu BM wana gari nyingi hatari sikushangai Kodi bongo ni kubwa na yanakuja machache sana...X series ni X6 tu ndio gari.
Ile Coupe line imeongeza karibia dola elfu 20 kwenye bei ya X6 [emoji23],wajinga ndiyo tuliwao.Basi hujui magari wewe, maana tofauti ya X5 na X6 ni Coupe line tu ya X6, maana specs karibu zote zinafanana, hata interior copy copy.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
We jamaaaThe Sexiest BMW ever designed. Nilikuwa napenda Styling ya X5 but since nimekutana na X1 it really caught my feelings. Ndio BMW ambayo naweza ichagua straight away with No hesistation.
Kuna jamaa kasema X5 ipo kama chumba mboga styleX6 gari ina shepu mbaya sana mnyama ni X5...aka X Fiza...
Mwambie aseme tena mkuu...Kuna jamaa kasema X5 ipo kama chumba mboga style
BMW X1 ni IST iliyo changamka
X1 zina bei kuliko x3 nadhani inaweza kuwa sababuWakuu Habari.
Nimetembelea tovuti za kampuni maarufu za kuagiza magari kutoka Japani kama Beforward, SBT, AUTOCOM na AUTOREC.
Kote huko nimeona miongoni mwa magari ya kampuni ya BMW (X3 naX5) ambayo wameyalist kama yanayonunuliwa sana.
Lakini mimi nimevutiwa na X1 ambayo pia hata bei zake sio kubwa sana.
Naomba kujuzwa zaidi juu gari hii ya BMW X1 hasa model ya 2010 mpaka 2012 au kwa ujumla.
Sababu nahisi itakuwa beiWakuu Habari.
Nimetembelea tovuti za kampuni maarufu za kuagiza magari kutoka Japani kama Beforward, SBT, AUTOCOM na AUTOREC.
Kote huko nimeona miongoni mwa magari ya kampuni ya BMW (X3 naX5) ambayo wameyalist kama yanayonunuliwa sana.
Lakini mimi nimevutiwa na X1 ambayo pia hata bei zake sio kubwa sana.
Naomba kujuzwa zaidi juu gari hii ya BMW X1 hasa model ya 2010 mpaka 2012 au kwa ujumla.
Natumae mleta mada umepata muongozo...
X6 ni utopolo classicX series ni X6 tu ndio gari.
Hii gari hua imekaa ki dogg style.Haya ndo Mahaba niliyonayo pale nnaposikia neno BMW.....
View attachment 1723134
Babaa Mwandani Wangu [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji177]
Ni chombo cha usafiri hicho.Hii corolla axio mnaizungumziaje nayo
Sifa zake kidogo na ubora wake ukoje maana naona imeshika hela kidogoNi chombo cha usafiri hicho.