Kwanini BMW X1 sio popular kama X3 na X5?

Kwanini BMW X1 sio popular kama X3 na X5?

Wakuu Habari.

Nimetembelea tovuti za kampuni maarufu za kuagiza magari kutoka Japani kama Beforward, SBT, AUTOCOM na AUTOREC.

Kote huko nimeona miongoni mwa magari ya kampuni ya BMW (X3 naX5) ambayo wameyalist kama yanayonunuliwa sana.

Lakini mimi nimevutiwa na X1 ambayo pia hata bei zake sio kubwa sana.

Naomba kujuzwa zaidi juu gari hii ya BMW X1 hasa model ya 2010 mpaka 2012 au kwa ujumla.
ukiweka photo uniite
 
The Sexiest BMW ever designed. Nilikuwa napenda Styling ya X5 but since nimekutana na X1 it really caught my feelings. Ndio BMW ambayo naweza ichagua straight away with No hesistation.
We jamaaa
Sexiest????
Hapana aseee labda sexiest hapa bongo?
Lakini bado hapana....labda sexiest kwenye macho yako

M3? , M6? , m5??
Au huzipendi?
 
Attachments

  • 62c9db0ddddbf6d57eb1aa5d796309bc.jpg
    62c9db0ddddbf6d57eb1aa5d796309bc.jpg
    61.7 KB · Views: 54
  • 85d819aef98bad04474a27fd8d80de69.jpg
    85d819aef98bad04474a27fd8d80de69.jpg
    47.4 KB · Views: 53
  • 6166cc55ec1d167b62f5bb8aa606a39b.jpg
    6166cc55ec1d167b62f5bb8aa606a39b.jpg
    25.8 KB · Views: 53
  • b1810f4128e5dd6ceea548f8a96e3266.jpg
    b1810f4128e5dd6ceea548f8a96e3266.jpg
    31.8 KB · Views: 52
  • 031eecc269a7d3e68d16a88669240214.jpg
    031eecc269a7d3e68d16a88669240214.jpg
    46.3 KB · Views: 53
  • e13f639d6ab914645b8687b3756a8614.jpg
    e13f639d6ab914645b8687b3756a8614.jpg
    34.1 KB · Views: 49
  • 81cec404f8e7fdd69c13d41c9b77b220.jpg
    81cec404f8e7fdd69c13d41c9b77b220.jpg
    53.4 KB · Views: 48
  • b19a049490cf1213185701f6f5cb78d4.jpg
    b19a049490cf1213185701f6f5cb78d4.jpg
    16.4 KB · Views: 49
  • 1b5b22b7e54ee13e05867711cc1f0019.jpg
    1b5b22b7e54ee13e05867711cc1f0019.jpg
    34.3 KB · Views: 47
  • 0fd21ba15f02d28bf3aa448776e56d22.jpg
    0fd21ba15f02d28bf3aa448776e56d22.jpg
    32.9 KB · Views: 47
  • 8afd02613b42ff90f7a6ffdce03be4d9.jpg
    8afd02613b42ff90f7a6ffdce03be4d9.jpg
    26.6 KB · Views: 45
  • e1a348fe4db63aabab492f19e6c57968.jpg
    e1a348fe4db63aabab492f19e6c57968.jpg
    22.6 KB · Views: 52
Wakuu Habari.

Nimetembelea tovuti za kampuni maarufu za kuagiza magari kutoka Japani kama Beforward, SBT, AUTOCOM na AUTOREC.

Kote huko nimeona miongoni mwa magari ya kampuni ya BMW (X3 naX5) ambayo wameyalist kama yanayonunuliwa sana.

Lakini mimi nimevutiwa na X1 ambayo pia hata bei zake sio kubwa sana.

Naomba kujuzwa zaidi juu gari hii ya BMW X1 hasa model ya 2010 mpaka 2012 au kwa ujumla.
X1 zina bei kuliko x3 nadhani inaweza kuwa sababu
 
Wakuu Habari.

Nimetembelea tovuti za kampuni maarufu za kuagiza magari kutoka Japani kama Beforward, SBT, AUTOCOM na AUTOREC.

Kote huko nimeona miongoni mwa magari ya kampuni ya BMW (X3 naX5) ambayo wameyalist kama yanayonunuliwa sana.

Lakini mimi nimevutiwa na X1 ambayo pia hata bei zake sio kubwa sana.

Naomba kujuzwa zaidi juu gari hii ya BMW X1 hasa model ya 2010 mpaka 2012 au kwa ujumla.
Sababu nahisi itakuwa bei
Pia x1 ina umbo dogo compared to X3 na x5

X3 nyingi zinauzwa kuanzia million 21 (2004/2005 model)

X1 nyingi zinauzwa kuanzia million 28(2011 model)

X5 nyingi zinauzwa kuanzia million 28 (2004/2005 model)

Pia X1 nyingi ni 2WD while X3 na X5 ni 4WD
 
Back
Top Bottom