I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Sidhani kama kuna maelezo mazuri na ya kujitosheleza kama haya. You have nailed it!Mama ni moyo ana mapenzi ya dhati yaliyovuka mipaka kwa mwanae, leo hii hata mama yako ukimwambia unataka kuwa msanii atakupa sapoti.
Baba ni kichwa, mlinzi na mtaftaji, leo hji ukimwambia unataka kuwa msanii atatafakari na kuona usanii kwa asilimia kubwa wengi hawatoboi atakupa makavu na hatakusapoti, atakwambia katafute beba jembe ukalime uwe na uhakika hata wa kula.
Hapo ukitumia hisia utaona mama anakupenda ila ukitumia akili unaina baba anakujali.
ila kadri umri unavyoenda mtoto akianza kujitegemea ,hapo ukaribu kwa baba unaongezeka maana nae anakuwa mtaftaji kama baba yake.
Unlike charges attract to each other while like charges repel each other. Ni hivyo tu.Inatokea kwa jamii nyingi kuwa mtoto wa kiume kawaida au mara nyingi kwenye familia huwa na upendo mkubwa sana kwa mama yake kuliko kwa baba yake. Yuko tayari kuomba ushauri au kumshirikisha mambo yake ya ndani sana mama yake kuliko kumshirikisha baba.
Upo sahihi kabisaUpendo wa mama ni unstoppable
Asante kwa ufafanuzi huuMama ni moyo ana mapenzi ya dhati yaliyovuka mipaka kwa mwanae, leo hii hata mama yako ukimwambia unataka kuwa msanii atakupa sapoti.
Baba ni kichwa, mlinzi na mtaftaji, leo hji ukimwambia unataka kuwa msanii atatafakari na kuona usanii kwa asilimia kubwa wengi hawatoboi atakupa makavu na hatakusapoti, atakwambia katafute beba jembe ukalime uwe na uhakika hata wa kula.
Hapo ukitumia hisia utaona mama anakupenda ila ukitumia akili unaina baba anakujali.
ila kadri umri unavyoenda mtoto akianza kujitegemea ,hapo ukaribu kwa baba unaongezeka maana nae anakuwa mtaftaji kama baba yake.
Wakati mwenzako kachukulia kama mfano wewe unaichukulia serious nchi ina safari ndefu sana hiiTeh kwamba hii nchi wakulima wengi ndiyo wanatoboa kuliko wasanii? Basi sawa!
Nadhani pia mtoa mada aliongelea baba kumshauri mwanae kilimo ni mfano tu siyo halisi sana kiasi cha kufanya kuwa hoja ya kubishania kilimo na usanii bora niniMkuu hivi unaongelea hawa hawa wakulima wanaolia kila siku kuwa wanapangiwa bei za mazao na serikali au ni wakulima wepi wengine?
Anyway mimi nadhani huyo mtoto angeingia kwenye kilimo asingetoboa kwa sababu gani siyo passion yake hivyo hatafanya kwa ufanisi!
Kina baba wanapofeli ni kulazimisha mtoto afanye kitu kwa sababu tu ya heshima hata kama hakipendi wakati kina mama wao wanaamini tofauti!
Mtoto kitu akikipenda atafanya kwa bidii na kuna uwezekano akatoboa ila asipokipenda hatafanya kwa bidii na hatatoboa sababu siyo passion yake!
You feel me?
Mara nyingi wakati wa utoto, mtoto wa kiume atampenda mama sababu ya ujinga,Inatokea kwa jamii nyingi kuwa mtoto wa kiume kawaida au mara nyingi kwenye familia huwa na upendo mkubwa sana kwa mama yake kuliko kwa baba yake. Yuko tayari kuomba ushauri au kumshirikisha mambo yake ya ndani sana mama yake kuliko kumshirikisha baba.
Sababu ni kwamba katika familia nyingi za ki afrika baba hana ukaribu sana na watoto since the beginning. Muda wote yupo kutafta na watoto wanabak nyumban na mama. Pia Wengine ndo kabisaa hawajawahi kuwaona baba zao. Wengine mama zao hawana hekima wanagombanisha baba na watoto zao kwa kuwajaza uongo ili wao waonekane wema na baba zao wabaya.Inatokea kwa jamii nyingi kuwa mtoto wa kiume kawaida au mara nyingi kwenye familia huwa na upendo mkubwa sana kwa mama yake kuliko kwa baba yake. Yuko tayari kuomba ushauri au kumshirikisha mambo yake ya ndani sana mama yake kuliko kumshirikisha baba.
Ndiyo maana kuanzia aya ya pili nilienda kwenye point yangu nikimaanisha kuwa baba anataka mtoto afanye kitu ambacho ni cha heshima bila kujali kama mtoto anakipenda ama la. Ila mama yeye anataka mtoto afanye kile anachopenda yeye sababu mtu akikipenda kitu atakifanya kwa bidii kulikoni akilazimishwa kuna uwezekano mkubwa akaharibu sababu hicho kitu hakipendi.Nadhani pia mtoa mada aliongelea baba kumshauri mwanae kilimo ni mfano tu siyo halisi sana kiasi cha kufanya kuwa hoja ya kubishania kilimo na usanii bora nini
Lakini kwa sababu ni mfano unaweza hata kuigeuza kwamba mama ameshauri kilimo na baba ameshauri usanii
Mtoto akaona bora nikalime kwenye usanii sina kipaji siwezi kutoboa ntakuwa vipi kama mondi mzee anazingua
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
hapa umemaliza kila kituMama ni moyo ana mapenzi ya dhati yaliyovuka mipaka kwa mwanae, leo hii hata mama yako ukimwambia unataka kuwa msanii atakupa sapoti.