Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 1,946
- 2,822
Umesahau kuongezea hapo SA na NIG wana identity katika mziki wao.Kwenye awards kitu cha kwanza ni nominations ndio maana kuna wasanii wakubwa duniani kwenye bio zao utakuta "5 times oscar or grammy or billboards or mtv nominated".. Tuzo ni apprecciation so, kuwa nominated tu kwa mtu kama Nandy , Rayvanny, s2kizzy au marioo kwa Africa nzima ni step nzuri
Ukirudi kwenye kupata tuzo. Tukubali tu Nigeria na S.A wapo mbali na wana strong international acts wa kutosha. Record labels na production houses pia. Lugha inawasaidia plus wana ratings nzuri katika manunuzi ya muziki katika online platforns. Tukaze buti tu maana safari bado pevu
Sent using Jamii Forums mobile app