Kwanini bongo imetoka kapa kwenye soundcityMVP 2020?

Kwanini bongo imetoka kapa kwenye soundcityMVP 2020?

Kwenye awards kitu cha kwanza ni nominations ndio maana kuna wasanii wakubwa duniani kwenye bio zao utakuta "5 times oscar or grammy or billboards or mtv nominated".. Tuzo ni apprecciation so, kuwa nominated tu kwa mtu kama Nandy , Rayvanny, s2kizzy au marioo kwa Africa nzima ni step nzuri

Ukirudi kwenye kupata tuzo. Tukubali tu Nigeria na S.A wapo mbali na wana strong international acts wa kutosha. Record labels na production houses pia. Lugha inawasaidia plus wana ratings nzuri katika manunuzi ya muziki katika online platforns. Tukaze buti tu maana safari bado pevu
Umesahau kuongezea hapo SA na NIG wana identity katika mziki wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatukustahili kushinda tuzo yoyote

Washindi wengi wanadeserve even if waandaaji ni wanaigeria na wanabebana..hivi Diamond achukue MVP na Burna Boy asichukue??It doesn't make sense

Hivi Rema asichukue tuzo achukue Marioo??

Washindi wamefanya mambo makubwa kuliko artist wetu wa kibongo..

Kuna kipindi Diamond,Navy Kenzo,Vanessa walikuwa wanakimbiza kinoma..i don't know what happens!!..walikuwa wana identity yao fulani hivi..
 
Hili suala la identity ni la kuangalia sana kwenye mustakabali wa bongo flava.
Wabongo tuna copy ndiyo maana tunafeli kupush mziki wetu. Ladha ya mziki wa Nigeria inatambulika Africa na hata nje ya Africa. Diamond anapata umaarufu kwa kupita kwenye ladha za kinigeria ukiongezea na jinsi anavyo kuwa jukwaani akifanya shoo tu. Lakini Bado hajautambulisha mziki wa bongo flava katika nje ya mipaka ya tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatukustahili kushinda tuzo yoyote

Washindi wengi wanadeserve even if waandaaji ni wanaigeria na wanabebana..hivi Diamond achukue MVP na Burna Boy asichukue??It doesn't make sense

Hivi Rema asichukue tuzo achukue Marioo??

Washindi wamefanya mambo makubwa kuliko artist wetu wa kibongo..

Kuna kipindi Diamond,Navy Kenzo,Vanessa walikuwa wanakimbiza kinoma..i don't know what happens!!..walikuwa wana identity yao fulani hivi..
Ukiachilia mbali individual identity ya msanii, swali linakuja hapa mziki unaofanya inatambulika vipi? Sasa hivi Africa tunapambana kupush na kuutangaza Aina ya mziki tunaofanya utambulike na kufurahiwa world wide.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiachilia mbali individual identity ya msanii, swali linakuja hapa mziki unaofanya inatambulika vipi? Sasa hivi Africa tunapambana kupush na kuutangaza Aina ya mziki tunaofanya utambulike na kufurahiwa world wide.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ingawa bado nakubaliana nawe kuhusu identity, ila tukumbuke siasa zilizoko kwenye hizo tuzo.

Diamond alishinda hizi tuzo 2017 kama the Best Male MVP!!!

Wakati tuo tuzo zilikua mpya mpya inaonekana kama vile waandaaji walitaka kuzitangaza zaidi sehemu mbali mbali Afrika? Saivi umaarufu wa tuzo umepaa sana!!!
 
Kwa maoni yangu ya haraka tuzo zinaangalia zaidi wa nigeria KUANZIA KWENYE NOMINEES.
Mfano mzuri ni hizi tuzo za mwisho ni kama zimewekwa mahsusi kwa wanigeria
Very true. Sound city, MTV na BET africa ziko kwa ajili ya NIGERIA TU/West Africa, sisi hazituhusu kabisa wale jamaa wana roho mbaya sana wanajikuta wao ndo AFRICA.

Bora hata tuzo zinazoandaliwa na vituo vya SOUTH AFRICA jamaa wako fair sana. Wale jamaa waliandaa tuzo ili kujitangaza tu kampuni yao itambulike zaid east africa na central africa bas.
 
wimbo kama tetema, wimbo bora Afrika unakosaje tuzo?
Mond sawa, je wizkid? duh...
 
Very true. Sound city, MTV na BET africa ziko kwa ajili ya NIGERIA TU/West Africa, sisi hazituhusu kabisa wale jamaa wana roho mbaya sana wanajikuta wao ndo AFRICA.

Bora hata tuzo zinazoandaliwa na vituo vya SOUTH AFRICA jamaa wako fair sana. Wale jamaa waliandaa tuzo ili kujitangaza tu kampuni yao itambulike zaid east africa na central africa bas.
Kuna nchi zingine zimeshinda kama Ghana,South Africa na kenya je hao nao ni wanigeria...

Tusitafute wakumlaumu muziki wetu umeharibiwa na wanaoiga huko huko kwa tunaowalaumu kuwa wanajipendelea.

Muziki umeshakosa ladha kabisa labda tubadilishe mtindo mpya ila huu tulionao .. bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
80599590_2782894181777988_4733436837530614941_n.jpg
 
Kuna nchi zingine zimeshinda kama Ghana,South Africa na kenya je hao nao ni wanigeria...

Tusitafute wakumlaumu muziki wetu umeharibiwa na wanaoiga huko huko kwa tunaowalaumu kuwa wanajipendelea.

Muziki umeshakosa ladha kabisa labda tubadilishe mtindo mpya ila huu tulionao .. bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ghana hakuna aliyeshinda,south Ni kweli na Kenya kashinda best hip-hop kwa sababu Nigeria hawana watu wa hip-hop ,na angekuwepo wa hip-hop angeshinda mnigeria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom