Siasa, tamaa, sembe , vipaji zero na mapenzi ndiyo vitu vinaua hiyo tasinia ya filamu.
Hizo, sababu nilizoweka hapo juu ukiyatathimini utaelewa Sana.
Mfano, nakumbuka nikiwa mdogo, home hawataki kabisa tuangalie huo ujuha Kwa sababu, kila muigizaji analialia na mwigizaji mwenzake katika issues za mpenzi kwenye kila filamu.
Nimeelewa baada ya kukua na kutambua matatizo yao.
Ndiyo akili za waigizaji Wengi hawaichukulii kama ajira au taaluma.Kweli mkuu
yaani anakera hasa anapotamka lile neno lake la kudumu ' pumbavuuu'Ambaye amefilisika zaidi kimawazo ni Ray. Huyu jamaa huwa hana kipaji cha kuigiza kabisa sijui aliingiaje kwenye hiyo fani.
Wasalaam wanacelebrities na wanajf kwa ujumula... Kwanini Bongo movie imedorora na wengine wamefikia kusema imekufa ni sababu zipi zinazofanya hadi movie za kibongo kukosa soko
Je tatizo ni waingizaji?? ni directors amna ?ukosefu wa vifaa vyakisasa??? ni wandishi wa story na wa script wamekosekana?? wasambazaji amna??
Au labda zimekosa soko la
ndani???
Wadau na wapenzi wa Movie za kibongo mnakarubishwa kutoa hoja zenu