Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hakuna baba anayevaa hereni? Diamond sio baba? Thomas kipese hakuwa baba? Na wengineo wengiKuna mmoja aliigiza yeye ni baba na amevaa heleni
Sio waigizaji wote ccm na imeanza kudorora kabla ya uchaguziSiasa zimewaangusha..uccm
Sio woteBongo movie Wamehamia kwenye Siasa
Hajazuia bali sheria za copyright zifuatwe ili kuwepo na fair ground katika soko. Movie za nje hazilipiwa kodi wala tozo kama zile za bongonasikia mkuu wa mkoa wa dar ameahidi kurudisha soko lao kwa kufungia uuzwaji wa movie za nje!!!
zimebaki siku ngapi sijui, wenyewe walikuwa wanahesabu huko insta!
Ndio sio wote ila wale role models katika hiyo tasnia wengi wamejikita kwenye siasa wamebaki undergrounds tu ambao wengine wamejikita kwenye Tv seriesSio wote
Wameanza kujikita ln na kudorora kumeanza lini? Hata hivyo hiyo sio sab ya msingi kwani diamond amepata mafanikio makubwa sana baada kuifanyia kampeni ccmNdio sio wote ila wale role models katika hiyo tasnia wengi wamejikita kwenye siasa wamebaki undergrounds tu ambao wengine wamejikita kwenye Tv series