Kwanini Bongo movie imedorora??

Wameanza kujikita ln na kudorora kumeanza lini? Hata hivyo hiyo sio sab ya msingi kwani diamond amepata mafanikio makubwa sana baada kuifanyia kampeni ccm
Nini diamond amepata mafanikio makubwa baada ya kuipigia kampeni ccm? aiseeeeeeee
 
Nini diamond amepata mafanikio makubwa baada ya kuipigia kampeni ccm? aiseeeeeeee
Hesabu tuzo alizopata baada ya uchaguzi anavyovunja rekodi ya followers wa views kwenye you tube channel na sasa anavyouza nyimbo zake kupitia kwenye website yake.
 
Hesabu tuzo alizopata baada ya uchaguzi anavyovunja rekodi ya followers wa views kwenye you tube channel na sasa anavyouza nyimbo zake kupitia kwenye website yake.
Mkuu hivi ulianza kumfutilia baada ya kuanza kuipigia ccm kampeni?
 
Mkuu hivi ulianza kumfutilia baada ya kuanza kuipigia ccm kampeni?
Nayafahamu maendeleo yake kabla na baada ya kampeni baada ya kampeni ameprosper kuliko kabla kwa maana hiyo siasa haiusiki kushusha mafanikio ya wasanii
 
Najua unachotaka kutetea kipo hapo mstari wa mwisho kwenye comment yako
 
Hadhira imeshajua tofauti kati ya almasi na vipande vya chupa......kwa namna ambavyo walikuwa wanaendesha tasnia....ilikuwa rahisi kubadhiri kuwa hawatafika mbali......lilikuwa ni suala la muda tu.....na hatimaye yametimia.....

Umeongea yote mkuu
 
Afu kila mmoja akitoa move moja naye anagungua kampun ya kutengeneza move[emoji16] [emoji16]
Badala waunde shirikisho la ungano kadhaa waunde kampuni ili waweze kuwa na nguvu wanunue hata vifaa second hand vipush mzigo wao ufike level hata ya uongo wa kihindi wamekalia umbea na kusutana tuu huko insta. Huku wanaume nao wanazama kujichubua cream nyingine itakayopotea bila kupewa ushirikiano ni Gabo
 
After two month ago.. Hahah
tatizo lao mtu hajaenda kabisa shule ila anakipaji cha uigizaji....sasa badala ya kushirikisha watu wenye taaluma kwenye uandaaji wa filam anataka kila kitu aandae yeye na haya ndo matokeo yake
 
Kuuuubwa kati ya yote ndugu zangu ni UBUNIFU. Piga ua garagaza unafanya biashara lkn ukikosa kitu kinaitwa BUSINESS PSYCHOLOGY (sio lazima usome) biashara haiendi. Huu ndio ukweli wa bongo movie zetu yani tunatazama upuuzi tu.
 
DSTV na AZAM TV wana chanels 24hrs movies freeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

then nipoteze 4000 kwa kununua copy moja

mchina kaleta movie kibaoooo zakumwaga sh 1500 unapata series poa kabisa imetafsiliwa na lufufu wa leo the mtu apoteze sh4000 kwa movie moja ya wapaka poda yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

Shida sio kwamba movioes za bongo zimeshuka ubora hapana ila tunahitaji mabadiliko madogo tu
 
Bongo movie we walikiwa wauza nyago TU hawako kikazi!

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…