Kwanini Bongo movie imedorora??

Umimi utawaua
tatizo lao mtu hajaenda kabisa shule ila anakipaji cha uigizaji....sasa badala ya kushirikisha watu wenye taaluma kwenye uandaaji wa filam anataka kila kitu aandae yeye na haya ndo matokeo yake
 
Wengi hasa akina Dada wasio na vipaji vya kuigiza wanaingia bongo movie ili waonekane ili iwe sehemu ya kupigia umalaya,wengine ndo hao wanakuwa na mambo mengi mara siasa,mara uigizaji basi ni vurugu tupu
 
muvi za kibongo ni kinyaa,ukinambia utanipa 100,000/= niiangalie kuanzia mwanzo hadi mwisho mimi nitakupa lakimbili ili kikombe kiniepuke...hawajui kabisa,hata huyo kanumba wenu naye alikuwa shallow tu...
 
Kuna mmoja nilimsikia akisema "nikipangwa kuigiza kama msicha wa kazi sikubari" sasa apo kunawaigiza au wauza sura. Na Kuna sizoni mdio zimeshukua soko
 
Hoja yako nambari 1 iko poa sana.
 
Mbn ijaf bado subiri tu itabaki historia km hawatabadilika
 
nasikia mkuu wa mkoa wa dar ameahidi kurudisha soko lao kwa kufungia uuzwaji wa movie za nje!!!
zimebaki siku ngapi sijui, wenyewe walikuwa wanahesabu huko insta!
Kweli mkuu umenifumbua macho,nilikuwa naona johari anahesabu sielewi ...kumbeeeee
 
Wanawake wauza mpapa halafu wanaume marioo,makuwadi ndio kazi yao
 
Mimi naamini kuna mahali wamekosea wajisahihishe ili waende mbele na sio kuwaponda tuwape moyo
 
Siasa inazidi kuwaharibu bila kujijua na wanazidi kugawanya mashabiki wao mana wameamue kuonesha dhahiri wako upande gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…