Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Hata kama hujastaafu, na umepewa kazi ya umma, hufai kuvaa hayo ma combat ukiwa kazini. Kama uko kambini na unafanya kazi ya kijeshi, hapo sawa lakini public office, haileti shangwe.Hoja yako mfu, ila ngoja tukusaidie kutoa ufu wako.
Brigedia Mbungo bado ni Mwanajeshi active (hajastaafu Jeshi bado) hivyo yeye kuvaa Uniform zake za Jeshi kuna shida gani? angestaafu hapo sawa asingevaaa labda kwenye shughuli nyeti, hivyo futa huu uzi hauna mashiko.
Mfano, tuna mmoja ameandikwa huku KE anasimamia development ya CBD(Nairobi) na kusema kweli, yule jomba na ukubwa wake jeshini, sijawahi muona na combat tangu apewe kazi ile, na ukumbuke bado ni active member of defense forces, hujastaafu na hajafika kustaafu. Akimaliza kazi aliyopewa na rais, anarudi kambini kama kawaida.
✌️