mtafiti muelewa
Senior Member
- Oct 16, 2013
- 186
- 103
Naamini wataalamu wauchumi watakuwa wanaweza kutuelezea vizuri na tukaelewa.Hizi ndio zile mambo ambazo unajua kabisa kuwa sio sahihi ila kueleza inakuwa ngumu.
Rejea swali mzee, ni vigezo gani huwa vinaangaliwa vinavyopelekea serikali iprint pesa?Ukiprint hela nyingi:
1. Utasababisha mfumuko wa bei.
2. Pesa yako itapungua thamani.
3. Dunia itapoteza imani na pesa yako.
4. Utakuwa umefanikiwa kuua uchumi wa nchi yako.
Zimbabwe walijaribu hii kitu.
View attachment 1622051
Rejea swali mzee, ni vigezo gani huwa vinaangaliwa vinavyopelekea serikali iprint pesa?
Tunashukuru umetupa athari za kuprint pesa bila kufuata utaratibu.
Pesa huprintiwa kureplace zile zilizo choka au kuchakaa
Sio mtu naefaham sana uchumi ila nchi uwa ina lizevu yake ya mali kma vito vya dhamani kama madini kwaiyo unapeleka madini unapewa pesaMi nataka nijue hao wanaotu-printia hizo pesa, sisi tunawalipa nini kwa kazi hiyo?
Majibu mengi kwenye swali hili hayaridhishi
Itatokeabonge la inflation kiasi kwamba tutaanza kununua mkate hata kwa laki. Pesa haiprintiwi hivi hivi inakuwa backed na shughuli za kiuchumi na demand.Habari wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya.
Leo nina swali ambalo naamini likijibiwa hapa nitakuwa nimefumbuliwa macho ya fikra, pia watu wengi watakuwa wamefumbuliwa.
Swali: Ni vigezo gani huwa vinaangaliwa mpaka serikali inaprintiwa pesa?
Kwa nini wasprint nyingi tukalipa madeni ya nje, tukakamilisha miradi mikubwa ya maendeleo, tukanunua madawa na vyote ambavyo tunapungukiwa kama nchi?
Wanauchumi karibuni mtupe a,b,c za hili jambo ili tupate kujifunza.
Kwani pesa hizo zikilipwa nje kwenye madeni bila ya kuacha hata senti hapa nchini inflation itakujajeItatokeabonge la inflation kiasi kwamba tutaanza kununua mkate hata kwa laki. Pesa haiprintiwi hivi hivi inakuwa backed na shughuli za kiuchumi na demand.
Inabidi pesainayo printiwa iendane na uzalishaji na shughuli za kiuchumi otherwise uchumi utaanguka. Pia mahitaji ya pesa kweney mzungukoRejea swali mzee, ni vigezo gani huwa vinaangaliwa vinavyopelekea serikali iprint pesa?
Tunashukuru umetupa athari za kuprint pesa bila kufuata utaratibu.
Tunalipa kwa kutumia foreging currency mkuu siyo kwa pesa yetu ya madafukwani pesa hizo zikilipwa nje kwenye madeni bila ya kuacha hata senti hapa nchini inflation itakujaje
Kwani si tunanunua foreign currency kwani tuna print, tukinunua nani anabaki na foreign currency na nani anabaki na pesa zetu baada ya kununua foreign currencyTunalipa kwa kutumia foreging currency mkuu siyo kwa pesa yetu ya madafu
Shughuli za kiuchumindizo zinaleta foreign currency kwenye nchi, mfano wakija watalii tukiuza mazao nje kama korosho, tunalipwa kwa dollar, lakini wakulima wanapewa ela yao kwa pesa ya madafu inamaana. Pia serikali inaweza kuissue bonds in foregin currency.Kwani si tunanunua foreign currency kwani tuna print, tukinunua nani anabaki na foreign currency na nani anabaki na pesa zetu baada ya kununua foreign currency
Kwani bidhaa zikiuzwa nje ya nchi watu wanalipwa wananunua bidhaa nyingine kula wanaleta huku iyo pesa itakuwaje huku sasa, tuseme pesa tunayoipata ni ya watalii kuja tu na makampuni yanayouza bidhaa nje ya nchi halafu wanalipwa dola kuja kwenye akaunti yetu huku.Shughuli za kiuchumindizo zinaleta foreign currency kwenye nchi, mfano wakija watalii tukiuza mazao nje kama korosho, tunalipwa kwa dollar, lakini wakulima wanapewa ela yao kwa pesa ya madafu inamaana. Pia serikali inaweza kuissue bonds in foregin currency.
Labda nikupe mfano... mfano mimi kazi ninazozifanya nalipwa kwa dollar. Ina mana nimefanya kazi, mzungu ananilipa assume dollar 500 ambayo kwa tshs ni kama 1.2 mils, anafanya wire transfer inafika bank local bank wanapokea dollar ila mimi kwenye my account wanaweka tshs: ambayo 1.2 mls. wao dollar wanabaki nazo na mwisho zitaenda BOT maana wana kiasi cha pesa ya kigeni wanachoruhusiwa kuwa nacho kikizidi wanapeleka BOT.kwani bidhaa zikiuzwa nje ya nchi watu wanalipwa wananunua bidhaa nyingine kula wanaleta huku iyo pesa itakuwaje huku sasa, tuseme pesa tunayoipata ni ya watalii kuja tu na makampuni yanayouza bidhaa nje ya nchi halafu wanalipwa dola kuja kwenye akaunti yetu huku