Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Bro.... IFM ni chuo.....Kwanza serikali inamamlaka ya kuprint pesa zake zenyewe bila kibali toka popote.....taasisi ya IFM huwa inakopesha etc fedha za kigeni serikali kama Kuna upungufu WA fedha za kigeni... Pia IFM huwa wana mapendekezo kadhaa kwa benki kuu kuhusu kuprint pesa .
Serikali huwa inprint fedha na kuziweka kwenye mzunguko Kama Kuna gap ya kufanya hivo na Kama hakuna madhara yanayoweza kutokea... NI JAMBO LA KAWAIDA.
shida huwa inakuja pale serikali inapoprint PESA nyingi kuliko mzunguko wa Shughuli za kiuchumi Hapo ndio ongezeko LA pesa kwenye mzunguko linaharibu uchumi kabisa na kusababisha mfumuko wa bei etc..
kuprint pesa hapa namaanisha kuongeza fedha zingine mpya kwenye mzunguko na si kubadilisha mwonekano WA fedha au kubadilisha zilizochakaa.