ok kwa lugha nyepesi ni hivi:
Tuseme unataka kununua mchele kenya, ili kuweza kununua mchele huo ni lazima uwe na pesa inayozunguka kenya na wanayoitambua, kwa maneno marahisi lazima uwe na ksh au USD
- sasa utafanya nn na unatumia tsh? na unautaka huo mchele na hauwezi kupeleka tsh kwa sababu sio pesa yao, unafanya ivi, unatafuta mtu ambae hana kazi na USD kwa huo mda then unamwandikia receipt inayoitwa IOU: kwa kiswahili sjui inaitwaje ila hizi karatasi hua znatolewa na wasimamizi wa pesa katika nchi: Kwa Tanzania ni BOT (pia ukumbuke hizi IOU znatolewa kwa biashara zinazozungusha pesa kubwa zinazohusiana na mikataba ya nchi sio mtu mmoja mmoja)
- So hio receipt utaenda nayo kenya then watakupa KSH au USD ile receipt watabaki nayo kwenye documents zao anytime watataka pesa wataitumia, na hatimae unafanya manunuzi kenya ila ukiwa una deni la kulipa mbelen, naomba pia utambue uchumi wote wa dunia unaendeshwa kwa ulaghai wa kuwakandamiza nchi ndogo ndogo zote nkimaanisha nchi ambazo hazina uchumi mkubwa
- Huu ulaghai wote unaendeshwa na shirika moja linaitwa THE FEDERAL RESERVE, na mbaya zaidi hili sio shirika la serikali bali la watu binafsi na wao ndo wenye kibali cha kuchapisha noti za USD duniani kote, katiba ya marekani haitoi ruhusu kwa serikali ama shirika lolote kufanya uchunguzi katika FEDERAL RESERVE
- Kwa mfano, ukichapisha pesa nyingi mfano noti za tanzania, uchumi wako utakufa lakini wao wanaweza kuchapisha noti nyingi na za kutosha na zinazotumika dunia nzima sio marekani tu, serikali zote duniani kasoro CHINA, RUSSIA, AFGANISTAN na CUBA hawatumii mfumo huu
THE FEDERAL RESERVE wanachapisha zaidi ya tsh $600M kila sku bila kuathiri uchumi wa marekani, lakini hairuhusiwi kwa nchi zingine zozote znazofanya biashara kwa kutumia USD kuchapisha pesa zao wenyewe kwa kiasi kikubwa hiki, huu ni utapeli na unatakiwa ufike mwisho