Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

Kwa kiswahili tafadhali.
 
Wachumi mje tuendeleze mjadala Nafaka stakehigh Citizen B Drat
Wanafanya ivo kila siku ila haiwi kwenye mfumo wa noti bali inaitwa IOU, mfano ukideposit laki benki kuna mtu atakuja kuchukua mkopo wa laki alafu ataideposit tena hio laki benki, sasa kwenye mzunguko kuna laki 2, wewe ulieweka laki ya kwanza bado una laki na unaweza kuifanyia matumizi same same na yule aliechukua mkopo, this is the same same na BOT however serikali haishurutishwi kulipa huo mkopo bali wanaweza kutumia njia zingine kama kuuza hati fungani kufidia deni hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…