Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?


Aiseee
 
Hilo llinajulikana na pesa ya USA in Expire, Sasa la kuwepo original notes kwenye mzunguko linahusiana vipi na hii hoja?

what are you talking about do you really understand economics
 
Pesa inakuwa haina thamani, waulize Zimbabwe na Uganda. Kuna kipindi Zimbabwe ukiwa na dollar billion 100 unanunua mayai 3 tu na hela inaisha
 
Thanks very much for your simple explanation at least everyone can understand.
But I have one last question for me to understand fully the economic game.
Suppose the country has several means of production in every sector like agriculture,Industrial production,business but no export.
Will the economy be raised?if yes where is the excess money of the country comes from for the economy to raise?
 
what are you talking about do you really understand economics
Wewe ndiye huelewi uchumi hadi uanchanganya madesa eti Federal reserve ni kampuni binafsi, hivi unajua hata unaloongea. Eti ndiyo ina print pesa. Man, punguza kutazama cospiracy videos bila kutafuta vyanzo vingine vya habari. Utajikuta umemeza uongo mwingi.
 
Huo ndiyo ukweli na ukitaka nikuwekee ushahidi nitakuwekea sijaweka kwakuwa najua unaweza kufanya research yako mwenyewe

i dont understand your point maaana sjui unachoelezea ni nn, swala la backup nmeshakuelezea unarudia yale yale! you take more classes
 

hakuna excess money!
 
i dont understand your point maaana sjui unachoelezea ni nn, swala la backup nmeshakuelezea unarudia yale yale! you take more classes
Unajua wewe unadokoavitu halafu huvielewi, unadokoa fiat money haina backup ya commodity, huelewi kuwa thamani yake inakuwa backed na nini. Unatoka hapo Federal reserve ni kampuni binafsi. Let us call it a day. Maana hatufiki anywhere.
 


where are you getting all these lessons, just ditch that source
 
Itatokeabonge la inflation kiasi kwamba tutaanza kununua mkate hata kwa laki. Pesa haiprintiwi hivi hivi inakuwa backed na shughuli za kiuchumi na demand.
Hivi swali la mleta mada ni gumu kiasi hicho?
 
Unajua wewe unadokoavitu halafu huvielewi, unadokoa fiat money haina backup ya commodity, huelewi kuwa thamani yake inakuwa backed na nini. Unatoka hapo Federal reserve ni kampuni binafsi. Let us call it a day. Maana hatufiki anywhere.

The problem isnt giving you answers but the problem is you yourself, since mwanzo nlishajua upo butu, i dont see the reason ya mm kukuelezea kitu kile kile everytime. Fiat money is backed by nothing, the whole economy is backed by lies, na ni simple kabisa! nenda dukani au kariakoo nunua shati then nenda sehem ingine tafuta ilo ilo shati then utaona kama bei ni sawa. So mpaka apo u understand the scheme that the whole system is backed by lies and unfairness, mm naweza nkakuuzia shati 10K na shati ilo ilo kwa 8K, sasa wewe sjui unasoma articles huelewi uchumi ukoje, thats your problem, kitendo cha shati ilo ilo kuuzwa different prices it means uchumi mzima ni uongo na ni imani ya mtu anavokuuzia kitu, so mpaka apo unajua TSH haina support nyuma ingekua na support nyuma ingekua same price everywhere! mfano kabla pesa hazijaanza kutumika kulikua na gold. na ulikua unapewa mfano ukiwa na gold moja unapewa pesa yenye moja, ukiwa na mbili unapewa moja zkiwa mbili na unaweza kwenda any bank ukawapa hio pesa na ukapewa the same same gold! thats the big point of backing up! Means it has support behind which is legite, sasa TSH support yake ni USD ina maaana TSH ikifail lazima utoe usd zitumike kuepusha nchi kuingia kwenye machafuko

-mfano zimbabwe walivoingia kwenye crisis USD ndo ilitumika as a plan B, thats what it means by USD backup! sasa the question is, if your money is backup by USD then what backups up the USD? its simple the answer is lies! katika maisha ya wanadam haswa tanzania huu ndo mzunguko mzima wa maisha na pesa! your next question is about the federal reserve ngoja nkutafutie chart inaonyesha hisa za FEDERAL RESERVE
 
Unaona unavyochagua, Zimbabwe wametumia USD, wametumia South African Rand pia. Wewe unasoma conspiracy theories toka mwanzo nishakusoma. Ndiyo yale ya Federal Reserve n kampuni binafsi. Yani kumwelewesha mtu ambaye amesoma sana conspiracies ni vigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…