Kadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali.
Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga
1. Ajira zao zao za Tanganyika zetu sote
2. Ardhi yao yao ya Tanganyika yetu sote
3. Bodi ya mkopo yao yao ya Tanganyika yetu sote
4. Nafasi za siasa zao zao za Tanganyika zetu sote
5. Baraza la wawakilishi lao lao ila Bunge letu sote
6. Mamlaka ya mapato ZRB yao wao ila TRA yetu sote
7. Mshahara wa mbunge wa Zanzibar unalipwa na hazina ya Tanzania
7. Ukiingia Zanzibar NIDA yako weka kabatini kule kila kitu kitambulisho Cha ukaazi