Kwanini CCM inaacha upande mmoja wa Muungano kujitenga zaidi?

Kwanini CCM inaacha upande mmoja wa Muungano kujitenga zaidi?

Kadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali.

Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga
1. Ajira zao zao za Tanganyika zetu sote
2. Ardhi yao yao ya Tanganyika yetu sote
3. Bodi ya mkopo yao yao ya Tanganyika yetu sote
4. Nafasi za siasa zao zao za Tanganyika zetu sote
5. Baraza la wawakilishi lao lao ila Bunge letu sote
6. Mamlaka ya mapato ZRB yao wao ila TRA yetu sote
7. Mshahara wa mbunge wa Zanzibar unalipwa na hazina ya Tanzania
7. Ukiingia Zanzibar NIDA yako weka kabatini kule kila kitu kitambulisho Cha ukaazi
Zanzibar ni ndogo ni sawa na kamkoa kadogo huku Tanganyika
 
Hiyo code inakwenda kuvunja na Rais mkristo au mpagani siyo muislamu...tukisha ondoa hizi takataka za masjid ikulu basi nakuakik8shia mwisho wa hayo utakuwa umefika kwa sababu zanzibar tayari imesha kuwa tatizo kwa watanganyika hiyo code inafunguliwa na rais asiye muislamu wazanzibar watakuja kujutia sana matendo yao na matamanio yao ya sasa maana bila ya muungano zanzibar inapasuka na kuwa nchi mbili bila shaka yoyote na moasuko wenyewe utakuwa wa damu ya kutosha na uhalibifu mkubwa wa mali na baada ya kupasuka kioa kioande kitakuwa na machafuko hasa unguja wenye asili ya waarabu watajiinua kwa wabantu ndipo kutakapo kuwa na kilio na kusaga meno hadi watamkumbuka KARUME ...HAYA NI MANENO YA JINIUS SIBAHATISHI ITIKATI ZA KISHENZI ZA KIDINI ZITAONGEZEKA NA KUANZA OIA KURAR7ANA WAO KWA WAO KWA SABABU ZA DINI.
 
Watanzania bara / watanganyika tuendelee kudanganyika nyama ziko chini
 
Muungano unawatesa sana utafikiri ukivunjika babaako atapata Udiwani!
Udiwani labda kwako ndiyo unaona kitu cha maana, hapa ni simply watu wanaulalamikia muungano, kwanza hauna maana wala faida kwa Tanganyika na kwa Watanganyika na secondly kuwa koloni la Zanzibar ni aibu iliyokithiri.
 
Ukiwepo unapungukiwa nini na ukivunjika utapata nini?
 
Ukiwepo unapungukiwa nini na ukivunjika utapata nini?
Ukiwepo unainyonya Tanganyika na ukivunjika Tanganyika haitanyonywa tena na Zanzibar, hakutakuwa na ubaguzi wa Wazanzibari kuwa na uhuru wa kuwa viongozi Tanganyika, kushiriki mjadala bungeni inayohusu specifically mambo ya Tanganyika, kumili kinyonyaji ardhi ya Tanganyika ilhali Watanganyika hawaruhusiwi yote hayo kuyafanya huko taifa la Zanzibar. Itakomesha Zanzibar kuwa parasite kwa Tanganyika kwani itawalazimu waanze kujitegemea. Biashara huku itawalazimu kujisajili kama foreigners which literally means more dollars to be paid to our Tanganyika government na pia hata nafasi za ajira wanazozibana za Tanganyika kwa huu upuuzi wao wa percentages.
I've enlightened you kwa hayo machache tu in case you were blinded by your political fanaticism.
 
Muungano wanaolazomisha ni watanganyika,kule zanzibar ni mamlaka kamili tu basi.

..kuna genge la Wazanzibari linafaidika na muungano.

..genge hilo linafaidika kwa kuwepo madarakani, au kuchuma mali huku Tanganyika.

..pia kuna genge la Watanganyika ambalo limeng'ang'ania madaraka, na halitaki mabadiliko ya kitu chochote.

..genge hilo la Watanganyika linaamini ukiugusa muungano utatibua na mambo yao mengine yanayowaweka madarakani.

..ukiacha magenge hayo wananchi walio wengi wa pande zote za muungano hawaoni faida zake
 
Kadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali.

Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga
1. Ajira zao zao za Tanganyika zetu sote
2. Ardhi yao yao ya Tanganyika yetu sote
3. Bodi ya mkopo yao yao ya Tanganyika yetu sote
4. Nafasi za siasa zao zao za Tanganyika zetu sote
5. Baraza la wawakilishi lao lao ila Bunge letu sote
6. Mamlaka ya mapato ZRB yao wao ila TRA yetu sote
7. Mshahara wa mbunge wa Zanzibar unalipwa na hazina ya Tanzania
7. Ukiingia Zanzibar NIDA yako weka kabatini kule kila kitu kitambulisho Cha ukaazi
Ukiona hivyo ujue wazanzibar wanajitammbua zaidi.

Watanganyika tuendelee kulala tu
 
Itakomesha Zanzibar kuwa parasite kwa Tanganyika kwani itawalazimu waanze kujitegemea.
Ni kweli mkuu. Pia itakomesha Tanganyika kuwa mkoloni wa Zanzibar. Hili umelisahau, nimeona nikukumbushe.
Biashara huku itawalazimu kujisajili kama foreigners which literally means more dollars to be paid to our Tanganyika government na pia hata nafasi za ajira wanazozibana za Tanganyika kwa huu upuuzi wao wa percentages.
Ni kweli biashara itabidi wajisajili kama wageni, wakipenda kuja Tanzani kwani wana chaguo jingine la kwenda Kenya. Hii itapunguza kwa kiasi kiubwa biashara ya Tanganyika kwani watakuwa wamekosa soko. Naombea hili litokee haraka. Ama kuhusu upuuzi wa percentage, kama ulivyosema, hii itaongeza ajira kwao, kwani, nikuambie, watakuwa na jeshi lao, polisi, mambo ya nani na nje. Haya yote kwa sasa yamehodhiwa na mkoloni Tanganyika. Ee Mungu nakuomba urahisishe kuvunjika kwa huu muungano ili Watananyika wajifarague!
 
Ni kweli mkuu. Pia itakomesha Tanganyika kuwa mkoloni wa Zanzibar. Hili umelisahau, nimeona nikukumbushe.

Ni kweli biashara itabidi wajisajili kama wageni, wakipenda kuja Tanzani kwani wana chaguo jingine la kwenda Kenya. Hii itapunguza kwa kiasi kiubwa biashara ya Tanganyika kwani watakuwa wamekosa soko. Naombea hili litokee haraka. Ama kuhusu upuuzi wa percentage, kama ulivyosema, hii itaongeza ajira kwao, kwani, nikuambie, watakuwa na jeshi lao, polisi, mambo ya nani na nje. Haya yote kwa sasa yamehodhiwa na mkoloni Tanganyika. Ee Mungu nakuomba urahisishe kuvunjika kwa huu muungano ili Watananyika wajifarague!
If those are your thoughts then we're on the same page, muungano uvunjike the soonest possible. Kuna watu wamejichimbia mpaka vijijini ilhali upande wa kwao hauwezi hata kupata kipande cha kulima bustani, Kariakoo, Ilala na Tanga ndiyo usiseme. Yaani ni balaa tupu.
Upande wa Watanganyika wanaofanya kazi Zenji nao warudishwe tu waanze maisha kwenye nchi yao ya Tanganyika.
 
No kwa nionavyo huu muungano wanao upigania ni unguja na Tanganyika ILA PEMBA mhhhh hawo JAMAA wana amini kua uwepo WA Tanzania KUANZISHA nchi ya PEMBA ni NGUMU hivo WAO wanaanza na muungano kwanza ILI IWE SIMPO KWAO. Changamoto

KIFO cha maalimu self
HUYU aliaminiwa HUYU angesema wazenji wabebe silahaa kupambana isinge kua kesi kabisa KIFO chake kilitosha kuzima kabisa inshu ya kuvunja muungano. Pia YEYE kukubali KUWA makamu raia walihis usaliti.

Kupungua nguvu kwa cuf HADI act wazalendo unguja.
Niliudhuria mikutano WA act wazalendo mahali nilishangaa pale palikia patupu YANI huwezi amini kama Miaka ya nyuma kilikia na nguvu waliokaa pale walikua viongozi WA act wazalendo pekee raia zilikua zinapita kama nuhi alochofanyiws na waasi YANI mikutano unaendelea raia Zina inshu zao MPAKA nilichoka nikasepa.

Maendeleo ya DOKTA mwinyi
Wazanzibar wanamkubali SANA mwinyi ni tofauti na unacho SIKIA KWENYE media mwinyi kawashika penyewe nilikuwepo kipindi joleti ANAKUJA zanzibar nyomi Kam lote act wazalendo wakaona isiwe kesi NAO wakaanda matembezi asee YANI Kenya lile KUBWA lilikua tupu niwapambe TU ukiwaona unawatilia shaka kama hat wanakadi ya kupiga kula wananuka viroba YANI SHIDA tupu.

Masilahi ya royal family.
Familia KUBWA zenye uwezo HAPO ZANZIBAR ni waarabu na wahindi weusi ni walio KUWA wanasiasa TU ambapo BADO HAWAN utajiri kuwazidi HAO WAWILI kwa vyovyote kuvunjika kwa muungano kutawayumbisha HAO royal family kutokana na uwekezaj walio FANYA bara.
SINA HAKIKA ILA inasemekana pia viongoz WA bara wan uwekezaji WAO KWENY hotel za kitalii hivo kuvunjika kwa muungano kutawayumbisha kiuchumi.

Kombinesheni ya muunguja na mtanganyika kifamilia umezalisha zao la mu unguja alietokan na mtanganyika
Hapa NDO pagumu SANA hilikosa halikupaswa kukubaliwa we are late. Katika KILA familia ya kizanzibar Kuna mtanganyika ANAWEZA kua mama baba au mfanyakazi WA ndani au muuza duka ILA mtanganyika lazima awepo . Watoto wenye haki za uzanzibari wana asili ya utanganyika. Mabinti wanao KUJA kufanya KAZI zanzibar wameolewa na wazanzibar na wamezalishwa huwezi TENGANISHA. Utaibua mapigano ya wenyewe kwa wenyewe.

JESHI kwa ujumla kuchanganywa PANDE zote.
Hapa ni KUANZIA polisi MPAKA jwtz wamechanganywa Hilo lilikua kosa huwezi wachambua SASA n NGUMU hofu ya vita za wenyewe kwa wenyewe kuzuka.

Kuruhusu. Muingiliano horera kati ya mtanganyika na muunguja.
Leo ni NGUMU kumtambua HUYU mzenji HUYU mtanganyika nmeshuhudia mwenyewe unafahamiana na MTU muonekano unasema HUYU mi Mubara mwenzangu BADAE unakuja kujua ni mzenji haswa SASA. Inaogopesha kwani SASA tumesha fanana NGUMU San kutenganisha hayo yangefanywa kipindi kile Miaka ya elfu MOJA na. Leo HII ETI HADI nyarugusu geita Kuna mzanzibar nilishangaa SANA TENA ameoa huko na watoto JUU.

Sululuhisho ni kuka kurekebisha palipo na CHANGAMOTO kwishaa kuvunja ni NGUMU SANA inaweza KUA SIMPO SANA ILA SHIDA ni kwa raia kuwatenganisha HAPO litatokea la Pakistan na India ni lazima.

Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow ..........Jah iz really
 
Inaendelea

Kupungua kwa kejeli kudharauliwa na kitopendwa kwa Mubara.
Sasa HIVI UNAWEZA kaa MWAKA MZIMA usisikie neno chogo MPAKA UNAWEZA hisi wazanzibar walikua wanaonewa HAIKUA kweli Hilo neno.

Michezo
Inashangaza SANA KWAMBA TIMU zenye mashabiki WENGI hapa ZANZIBAR ni Simba na YANGA HIVI ni hatari sana mana michezo hua inatumika kiwaleta WATU pamoja bila kujali dini au itikadi za kisiasa Hilo ni TATIZO..

Burudani
Mziki pendwa ni wasanii WA bara simjui msanii YOYOTE WA zanzibar aliopo hapa visiwani mziki unaosikilizwa NDO huohuo WA bara YANI kizazi cha kina AT. bery black. shiriko kilivopotea hakijawahi kupatokan TENA msanii mwenye ushawishi zanzibar.

Kwa Leo niishie hapa alamsiki

Muungano wetu tuta Linda hata kwa kichangishana PESA ILI udumu MUNGU tusimamie ate taka kuvunja muite kwako MUNGU wetu tunakupenda SANA na tunafurah.

Kwishaaaaaa

Bro Alex on la beats yoow............. Jah iz really
 
If those are your thoughts then we're on the same page, muungano uvunjike the soonest possible. Kuna watu wamejichimbia mpaka vijijini ilhali upande wa kwao hauwezi hata kupata kipande cha kulima bustani, Kariakoo, Ilala na Tanga ndiyo usiseme. Yaani ni balaa tupu.
Upande wa Watanganyika wanaofanya kazi Zenji nao warudishwe tu waanze maisha kwenye nchi yao ya Tanganyika.
Naliombea hili litokee mradi mkoloni mweusi ataondoka, kwani mkoloni sio rangi bali vitendo vya kutawala nchi ya kigeni.
 
Naliombea hili litokee mradi mkoloni mweusi ataondoka, kwani mkoloni sio rangi bali vitendo vya kutawala nchi ya kigeni.
DAH mtajuana nyinyi SI Bora mtuachi muungano wetu TU🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️

Kwishaaaaa

Bro Alex on la beats yoow.............. Jah iz really🙏
 
Back
Top Bottom