Uondoke muungano kwanza ndo naye aondoke. Vinginevyo tutabanana hapahapa mpaka kieleweke.Ndiyo maana nasema yule mzanzibari mwanamke aondoke.!
Muungano unawatesa sana utafikiri ukivunjika babaako atapata Udiwani!Muungano wanaolazomisha ni watanganyika,kule zanzibar ni mamlaka kamili tu basi.
Hakuna tatu ni kuuvunja tu tugawane mbao. EAC ya akina Nyerere na Kenyatta ilikuwa hivihivi, vijimaneno vingi ukadumuka, baadae wakatanabahi kwamba wale watu walikuwa wapumbavu wakaurejesha, na sasa yameanza, Wacha tugawane wataokuja wataamua ya kwao.Yule mama asibwete,kipindi hiki Cha wao kuongoza nchi ndiyo muda sahihi wa kutengeneza katiba ya serikali tatu,nafasi wanayo kubwa kwa sasa. Wasidanganyike
Kitamlamba kituYule mama asibwete,kipindi hiki Cha wao kuongoza nchi ndiyo muda sahihi wa kutengeneza katiba ya serikali tatu,nafasi wanayo kubwa kwa sasa. Wasidanganyike
Huo si muungano,ni mgusano.Sijawahi kuona Muungano wa kijinga kama huu Duniani!
Mkuu, wa kijinga munaung'ang'ania hivi. Ungekuwa wa kierevu ingekuwaje? Hivi munajitambua?Sijawahi kuona Muungano wa kijinga kama huu Duniani!
Kodi za TRA Zanzibar hazivuki baraMimi nipo Pemba jana kaja wamekuja dukani kwangu watu wa TRA na ninatakiwa kulipa kodi , hii inamaanisha kwamba mfanyabiashara wa Zbar anakatwa kodi mara 2 , ZRA na TRA . Nilikua nakukumbusha tu na hili uliandike.