Huo ndio ukweliMuungano wanaolazomisha ni watanganyika,kule zanzibar ni mamlaka kamili tu basi.
Zanzibar ni ndogo ni sawa na kamkoa kadogo huku TanganyikaKadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali.
Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga
1. Ajira zao zao za Tanganyika zetu sote
2. Ardhi yao yao ya Tanganyika yetu sote
3. Bodi ya mkopo yao yao ya Tanganyika yetu sote
4. Nafasi za siasa zao zao za Tanganyika zetu sote
5. Baraza la wawakilishi lao lao ila Bunge letu sote
6. Mamlaka ya mapato ZRB yao wao ila TRA yetu sote
7. Mshahara wa mbunge wa Zanzibar unalipwa na hazina ya Tanzania
7. Ukiingia Zanzibar NIDA yako weka kabatini kule kila kitu kitambulisho Cha ukaazi
Hiyo code inakwenda kuvunja na Rais mkristo au mpagani siyo muislamu...tukisha ondoa hizi takataka za masjid ikulu basi nakuakik8shia mwisho wa hayo utakuwa umefika kwa sababu zanzibar tayari imesha kuwa tatizo kwa watanganyika hiyo code inafunguliwa na rais asiye muislamu wazanzibar watakuja kujutia sana matendo yao na matamanio yao ya sasa maana bila ya muungano zanzibar inapasuka na kuwa nchi mbili bila shaka yoyote na moasuko wenyewe utakuwa wa damu ya kutosha na uhalibifu mkubwa wa mali na baada ya kupasuka kioa kioande kitakuwa na machafuko hasa unguja wenye asili ya waarabu watajiinua kwa wabantu ndipo kutakapo kuwa na kilio na kusaga meno hadi watamkumbuka KARUME ...HAYA NI MANENO YA JINIUS SIBAHATISHI ITIKATI ZA KISHENZI ZA KIDINI ZITAONGEZEKA NA KUANZA OIA KURAR7ANA WAO KWA WAO KWA SABABU ZA DINI.Kadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali.
Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga
1. Ajira zao zao za Tanganyika zetu sote
2. Ardhi yao yao ya Tanganyika yetu sote
3. Bodi ya mkopo yao yao ya Tanganyika yetu sote
4. Nafasi za siasa zao zao za Tanganyika zetu sote
5. Baraza la wawakilishi lao lao ila Bunge letu sote
6. Mamlaka ya mapato ZRB yao wao ila TRA yetu sote
7. Mshahara wa mbunge wa Zanzibar unalipwa na hazina ya Tanzania
7. Ukiingia Zanzibar NIDA yako weka kabatini kule kila kitu kitambulisho Cha ukaazi
Tusiruhusu upande mmoja ujitenge na kufanya mambo yakeKwahyo mkuu tuvunje muungano?
Udiwani labda kwako ndiyo unaona kitu cha maana, hapa ni simply watu wanaulalamikia muungano, kwanza hauna maana wala faida kwa Tanganyika na kwa Watanganyika na secondly kuwa koloni la Zanzibar ni aibu iliyokithiri.Muungano unawatesa sana utafikiri ukivunjika babaako atapata Udiwani!
Tatizo kuu ni ccm hsa viongoziShida ni katiba mbovu
Ukiwepo unapungukiwa nini na ukivunjika utapata nini?Udiwani labda kwako ndiyo unaona kitu cha maana, hapa ni simply watu wanaulalamikia muungano, kwanza hauna maana wala faida kwa Tanganyika na kwa Watanganyika na secondly kuwa koloni la Zanzibar ni aibu iliyokithiri.
Ukiwepo unainyonya Tanganyika na ukivunjika Tanganyika haitanyonywa tena na Zanzibar, hakutakuwa na ubaguzi wa Wazanzibari kuwa na uhuru wa kuwa viongozi Tanganyika, kushiriki mjadala bungeni inayohusu specifically mambo ya Tanganyika, kumili kinyonyaji ardhi ya Tanganyika ilhali Watanganyika hawaruhusiwi yote hayo kuyafanya huko taifa la Zanzibar. Itakomesha Zanzibar kuwa parasite kwa Tanganyika kwani itawalazimu waanze kujitegemea. Biashara huku itawalazimu kujisajili kama foreigners which literally means more dollars to be paid to our Tanganyika government na pia hata nafasi za ajira wanazozibana za Tanganyika kwa huu upuuzi wao wa percentages.Ukiwepo unapungukiwa nini na ukivunjika utapata nini?
Muungano wanaolazomisha ni watanganyika,kule zanzibar ni mamlaka kamili tu basi.
Ukiona hivyo ujue wazanzibar wanajitammbua zaidi.Kadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali.
Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga
1. Ajira zao zao za Tanganyika zetu sote
2. Ardhi yao yao ya Tanganyika yetu sote
3. Bodi ya mkopo yao yao ya Tanganyika yetu sote
4. Nafasi za siasa zao zao za Tanganyika zetu sote
5. Baraza la wawakilishi lao lao ila Bunge letu sote
6. Mamlaka ya mapato ZRB yao wao ila TRA yetu sote
7. Mshahara wa mbunge wa Zanzibar unalipwa na hazina ya Tanzania
7. Ukiingia Zanzibar NIDA yako weka kabatini kule kila kitu kitambulisho Cha ukaazi
Ni kweli mkuu. Pia itakomesha Tanganyika kuwa mkoloni wa Zanzibar. Hili umelisahau, nimeona nikukumbushe.Itakomesha Zanzibar kuwa parasite kwa Tanganyika kwani itawalazimu waanze kujitegemea.
Ni kweli biashara itabidi wajisajili kama wageni, wakipenda kuja Tanzani kwani wana chaguo jingine la kwenda Kenya. Hii itapunguza kwa kiasi kiubwa biashara ya Tanganyika kwani watakuwa wamekosa soko. Naombea hili litokee haraka. Ama kuhusu upuuzi wa percentage, kama ulivyosema, hii itaongeza ajira kwao, kwani, nikuambie, watakuwa na jeshi lao, polisi, mambo ya nani na nje. Haya yote kwa sasa yamehodhiwa na mkoloni Tanganyika. Ee Mungu nakuomba urahisishe kuvunjika kwa huu muungano ili Watananyika wajifarague!Biashara huku itawalazimu kujisajili kama foreigners which literally means more dollars to be paid to our Tanganyika government na pia hata nafasi za ajira wanazozibana za Tanganyika kwa huu upuuzi wao wa percentages.
If those are your thoughts then we're on the same page, muungano uvunjike the soonest possible. Kuna watu wamejichimbia mpaka vijijini ilhali upande wa kwao hauwezi hata kupata kipande cha kulima bustani, Kariakoo, Ilala na Tanga ndiyo usiseme. Yaani ni balaa tupu.Ni kweli mkuu. Pia itakomesha Tanganyika kuwa mkoloni wa Zanzibar. Hili umelisahau, nimeona nikukumbushe.
Ni kweli biashara itabidi wajisajili kama wageni, wakipenda kuja Tanzani kwani wana chaguo jingine la kwenda Kenya. Hii itapunguza kwa kiasi kiubwa biashara ya Tanganyika kwani watakuwa wamekosa soko. Naombea hili litokee haraka. Ama kuhusu upuuzi wa percentage, kama ulivyosema, hii itaongeza ajira kwao, kwani, nikuambie, watakuwa na jeshi lao, polisi, mambo ya nani na nje. Haya yote kwa sasa yamehodhiwa na mkoloni Tanganyika. Ee Mungu nakuomba urahisishe kuvunjika kwa huu muungano ili Watananyika wajifarague!
Naliombea hili litokee mradi mkoloni mweusi ataondoka, kwani mkoloni sio rangi bali vitendo vya kutawala nchi ya kigeni.If those are your thoughts then we're on the same page, muungano uvunjike the soonest possible. Kuna watu wamejichimbia mpaka vijijini ilhali upande wa kwao hauwezi hata kupata kipande cha kulima bustani, Kariakoo, Ilala na Tanga ndiyo usiseme. Yaani ni balaa tupu.
Upande wa Watanganyika wanaofanya kazi Zenji nao warudishwe tu waanze maisha kwenye nchi yao ya Tanganyika.
DAH mtajuana nyinyi SI Bora mtuachi muungano wetu TU๐๐๐๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟโฅ๏ธNaliombea hili litokee mradi mkoloni mweusi ataondoka, kwani mkoloni sio rangi bali vitendo vya kutawala nchi ya kigeni.