Kwanini CCM inaiogopa Umoja Party na hawawaogopi CHADEMA wala ACT Wazalendo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ukifuatilia kwa makini utagundua hofu ya CCM iko kwa Umoja Party tu na wala siyo kwa Vyama vingine vya Upinzani kama CHADEMA na ACT Wazalendo

Bado nafanya utafiti nijue Ndani ya UP kuna nini kinachotisha tofauti na Vyama vikongwe

Mungu ni Mwema wakati wore!
 
Hivi kichwani kwako umejaza makamasi au makohozi wewe? Hofu ya kitu kisichokuwepo?
 
Mimi nitajiunga Umoja Party

CCM inapaswa kuelewa kuwa siku za kuwaburuza Watanzania zimeisha
 
Umoja Party ndiyo chama gani? Chama cha kufikirika ndiyo kiogopwe, hao ni Sukuma gang wala si chama na hiyo kuogopwa wanaitengeneza kama njia ya kijitambulisha na kujitutumua katika medani za kisiasa ambazo kiuhalisia bado hawajawa kwenye siasa bali bado ni wahuni wasiotambulika.

Sukuma gang(Umoja Party) piganane kiakili mpate usajili baada ya kupata usajili ndiyo muanze hizo kelele zenu.
 
Nani kakwambia?
 
HILO NI GENGE LILILOKUWA LIKITAKA KUVUNJA KATIBA NA HATA KUFANYA CHOCHOTE KILE ALIMRADI LIPATE MADARAKA, NI HATARI KWELIKWELI INFACTS NI KWA HURUMA TU ZA RAIS WETU, LAKINI GENGE HILO NI "WAHAINI" HAWAKUTAKIWA HATA KUWEPO URAIANI.
 
Hofu gan naww, ushaanza kuwazaja upepo raia humu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…