Kwanini CCM inaiogopa Umoja Party na hawawaogopi CHADEMA wala ACT Wazalendo?

Falsafa za Mwamba zinatisha popote pale ndani ya Bara hili si TZ tu !!
 
HILO NI GENGE LILILOKUWA LIKITAKA KUVUNJA KATIBA NA HATA KUFANYA CHOCHOTE KILE ALIMRADI LIPATE MADARAKA, NI HATARI KWELIKWELI INFACTS NI KWA HURUMA TU ZA RAIS WETU, LAKINI GENGE HILO NI "WAHAINI" HAWAKUTAKIWA HATA KUWEPO URAIANI.
Wakati JPM anaanza Kuugua, aliugua huku kichwani kwake akiwajua kabisa Wabaya wake , Mzee alijua kabisa nani ameamua kumuondoa !!.

Ila pamoja kwamba alikua Bado na Uwezo wa kutoa maelekezo, aliamua kuwasamehee nyinyie Msoga Gang .
 
Duh 🙄 !!
 
Najua kwanini wanakiogopa zaidi,umoja party,ni kwa kuwa ni chama cha kifamilia/kiukoo na kikabila😂
 
Wanajuwa what is next vipo vyama kama vyama na Kuna vyama vya majasusi. Kwahiyo wanajuwa ukweli end
 
Kwani Hadi Leo hii hamjasajiliwa? Ccm mnawezaje kuogopa kinyago?
 
HILO NI GENGE LILILOKUWA LIKITAKA KUVUNJA KATIBA NA HATA KUFANYA CHOCHOTE KILE ALIMRADI LIPATE MADARAKA, NI HATARI KWELIKWELI INFACTS NI KWA HURUMA TU ZA RAIS WETU, LAKINI GENGE HILO NI "WAHAINI" HAWAKUTAKIWA HATA KUWEPO URAIANI.
Shughuli ishaanza.

Kwa nini hawwkushtakiwa kwa uhaini?
 
Ni chama cha majambazi na magaidi.. Sabaya, Makonda, Odunga na muasisi wa itikadi hiyo Magufuli
Ni kama Ulaya wanavyoogopa vyama vyenye itikadi za Unazi (Nazism) ya Hitler
 
Umoja Party ndio pimbi gani?
 
Wakati JPM anaanza Kuugua, aliugua huku kichwani kwake akiwajua kabisa Wabaya wake , Mzee alijua kabisa nani ameamua kumuondoa !!.

Ila pamoja kwamba alikua Bado na Uwezo wa kutoa maelekezo, aliamua kuwasamehee nyinyie Msoga Gang .
Tundu Lissu ndio alimuua? Maana ndio alikuwa mbaya wake, au ni Mbowe?
 
Unazungumzia Chama ambacho hakipo na hakijasajiliwa
 
Jaman? Wamakupigia kukwambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…