Kwanini CCM inaiogopa Umoja Party na hawawaogopi CHADEMA wala ACT Wazalendo?

UP

Ni chama cha falsafa za jpm anaekubalika na wanyonge na mwiba KWA mafisadi na matajiri JANJA janja!

Ni chama cha system hicho Hata waliopiga picha kuitambulisha nembo ya chama ni wakakamavu haswaa sio Raia pekee!!

Kinaweza pewa usajili Baada ya Katiba mpyae na nadhani kina Pole pole Ndio wadau wakubwa na Pole pole anaupiga jeramba anafanya siasa akiwa malawi Ili asife kisiasa!inaweza ikawa ni mpango wa system KWA humphrey kutopoa kama ugali yaani aendeleee kuwa wa Moto daima!!

Tusubiri!
 
System?!! 🙄🙄
 
"Mzee mmoja wa busara alining'ata sikio na kuniambia 'maadui zako wako ndani ya CCM na si upinzani'", Rais Samia. Hao maadui zake ndani CCM ndio Umoja Party aka Sukuma Gang.
 
"Mzee mmoja wa busara alining'ata sikio na kuniambia 'maadui zako wako ndani ya CCM na si upinzani'", Rais Samia. Hao maadui zake ndani CCM ndio Umoja Party aka Sukuma Gang.
Sio hao kabisa bali ni wale wanaomsifia kupita kiasi mpaka mwenyewe anajiuliza sometimes hivi kulikoni !! Hao wanaomkosoa wanampenda wanamuonesha njia ya kupita !!
 
Hiyo ni kikulacho kii nguoni mwako, wamejificha ndani na ndio maana ikipatikana Katiba mpya itakuwa suluhisho la yote maana ujanja ujanja wote hautakuwa na nafasi.
 
UP iogopwe vp wkt hata jaijasajiliwa, Haina hata balozi wa nyumba kumi hata mmoja?
 
ngoja kiwe registered tukajiunge aisee
 
Mimi nitajiunga Umoja Party

CCM inapaswa kuelewa kuwa siku za kuwaburuza Watanzania zimeisha
Sisiemu ni mafiii [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…