Kwanini CCT, Waislam na Madhehebu ya Walokole wanamuunga mkono Mh. Dkt Samia Suluhu lakini Wakatoliki wanampinga?

Kwanini CCT, Waislam na Madhehebu ya Walokole wanamuunga mkono Mh. Dkt Samia Suluhu lakini Wakatoliki wanampinga?

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
34,781
Reaction score
94,550
Minongo'ono kwenye vijiwe vya kahawa vinasema baadhi ya madhehebu ya dini yamegeuka kuacha kufanya kazi za Mungu na kujiingiza kwenye biashara. Baada ya mabadiliko makubwa ya pale bandarini, katoliki wamekuwa wakali sana. Je, Maslahi yao yaliguswa?

Makanisa Wanachama CCT​

  1. Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
  2. Kanisa Anglikana Tanzania (KAT)
  3. Kanisa la Moravian Tanzania (MCT)
  4. Africa Inland Church of Tanzania (AICT)
  5. Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT)
  6. Jeshi la Wokovu (Salvation Army)
  7. Kanisa la Wabaptist Tanzania (BCT)
  8. Presbyterian Church of East Africa (PCEA)
  9. Kanisa la Mungu Tanzania
  10. Kanisa la Biblia Tanzania
  11. Kanisa la Uinjilisti Tanzania
  12. Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi (KIUMA)

TAMKO LA CCT


1763223274627.png

1763223325544.png

1763223356872.png

1763223386042.png
 
Wale Maimamu kumbe ni wakatoliki? Mambo ya Udini mtaokota watu wapumbavu nyie mmekataliwa na wananchi mmekimbilia kujiapisha heti vituo vya kupigia kura vilikua vingi hoja za Udini mnazojitahidi kuzileta hazitawasandia bali zitawamaliza
...
Wamekusikia ila wanajifanya km vile hawakusikii na hilo andiko hajalisoma vizuri mwambie alisome vizuri aelewe
 
Wanapiga matendo yake. Hece anaingia kwenye mpingo automatically kwa Sababu ya matendo yake
 
Vipi kuhusu CCT mdogo wangu umesoma tamko lao?
Hii hoja ya Udini ameileta Yule aliemwagiza Rais apige watu risasi lakini nayo haitatoboa karne hii uniletee udini wakati ufisadi ulifanya peke yako utekaji ulikua unatekaji ulifanya mwenyewe unigombanishe nda Ndugu zangu Wakatoliki au Waislamu kwa upumbavu wako haiwezini sisi huku mtaani tunaishi vizuri hoja ya Udini hazitawasandia maana mmeishiwa hoja
 
Makanisa ya walokole wapi wanaemuunga mkono huyo muuaji, hao akina Gwajima, Kabigumila, Nikison na wengne wengi hao si ndio walokole, mbona kila siku wanampinga. Au unazungumzia walokole wap?
 
Hii hoja ya Udini ameileta Yule aliyemwagiza Rais apige watu risasi lakini nayo haitatoboa karne hii uniletee udini wakati ufisadi ulifanya peke yako utekaji ulikua unatekaji ulifanya mwenyewe unigombanishe nda Ndugu zangu Wakatoliki au Waislamu kwa upumbavu wako haiwezini sisi huku mtaani tunaishi vizuri hoja ya Udini hazitawasandia maana mmeishiwa hoja
Unataka Umoja wa Waganga wa kienyeji nao watoe tamko?
 
Unataka Umoja wa Waganga wa kienyeji nao watoe tamko?
Unataka Umoja wa Waganga wa kienyeji nao watoe tamko?
Unataka Umoja wa Waganga wa kienyeji nao watoe tamko?
Unataka Umoja wa Waganga wa kienyeji nao watoe tamko?
Mmeishiwa hoja hiyo Bakwata nani hasiyejua imeanzishwa na Nyerere sasa mmebanwa mnakimbilia kwenye udini kugawa watu kwasababu ya Upumbavu wenu na tulikua tunawaonya humu kabla ya October 29 kwenye udini mtajizamisha wenyewe someni nyakati mmekataliwa
 
Mmeishiwa hoja hiyo Bakwata nani hasiyejua nimeanzishwa na Nyerere sasa mmebanwa mnakimbilia kwenye udini kugawa watu kwasababu ya Upumbavu wenu na tulikua tunawaonya humu kabla ya October 29 kwenye udini mtajizamisha wenyewe someni nyakati mmekataliwa
Hicho kiswahili kinaonesha wewe ni mbumbumbu. Wewe ni zero brain
 
Sema wachumia tumbo wajasiliamali kanisa
 
Mleta mada, anayejiita Venus Star, ambaye jina halisi linafahamika (hatuliweki kwaajili ya kuheshimu maadilo ya JF) ni miongoni wauaji, mpuuzeni. Ni miongoni mwa majina yaliyopelekwa ICC.
 
Weka ushahidi.
Kama huwezi kujua ili suala naweza kusema wewe ni mpumbavu kasome EAMWS Nyerere alifuta 1968 na kuanzisha BAKWATA hiyo taasisi ni Uchafu kama ilishidwa hata kukemea Mauaji ya mzee Ally Kibao hiyo ni upumbavu mtupu
 
Back
Top Bottom