Kwanini CCT, Waislam na Madhehebu ya Walokole wanamuunga mkono Mh. Dkt Samia Suluhu lakini Wakatoliki wanampinga?

Kwanini CCT, Waislam na Madhehebu ya Walokole wanamuunga mkono Mh. Dkt Samia Suluhu lakini Wakatoliki wanampinga?

Kama huwezi kujua ili suala naweza kusema wewe ni mpumbavu kasome EAMWS Nyerere alifuta 1968 na kuanzisha BAKWATA hiyo taasisi ni Uchafu kama ilishidwa hata kukemea Mauaji ya mzee Ally Kibao hiyo ni upumbavu mtupu
Bila ushahidi ni porojo za vijiwe vya kahawa tu. Kwikwikwikwikwi
 
Weka ushahidi.
Acha kudhihirisha upumbavu wako, yaani seriously haufahamu BAKWATA imeanzishwaje? Haufahamu kama mufti anahudumuwa na serikali? Mengine bishaneni lakini acha kuonyesha upumbavu kwenye vitu ambavyo viko wazi kabisa.
 
Wewe ndiye mpumbavu usiye na ushahidi Kwikwikwikwikwi unatuletea story za vijiweni unadhani sisi ni wajinga wenzako?
 
Usituchafue walokole hatuwezi kuungana na unyama hivyo,
 
Minongo'ono kwenye vijiwe vya kahawa vinasema baadhi ya madhehebu ya dini yamegeuka kuacha kufanya kazi za Mungu na kujiingiza kwenye biashara. Baada ya mabadiliko makubwa ya pale bandarini, katoliki wamekuwa wakali sana. Je, Maslahi yao yaliguswa?

Makanisa Wanachama CCT​

  1. Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
  2. Kanisa Anglikana Tanzania (KAT)
  3. Kanisa la Moravian Tanzania (MCT)
  4. Africa Inland Church of Tanzania (AICT)
  5. Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT)
  6. Jeshi la Wokovu (Salvation Army)
  7. Kanisa la Wabaptist Tanzania (BCT)
  8. Presbyterian Church of East Africa (PCEA)
  9. Kanisa la Mungu Tanzania
  10. Kanisa la Biblia Tanzania
  11. Kanisa la Uinjilisti Tanzania
  12. Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi (KIUMA)

TAMKO LA CCT

View attachment 3502392
View attachment 3502394
View attachment 3502395
View attachment 3502396
Wapi CCT wamemuunga mkono huyo uliyemtaja na kwenye nini wamemuunga mkono!!??
Unapiga propaganda za mwaka 47.
 
Uislamu unatoa inasema kuhusu uongozi mwanamke kalusiwa kua kiongozi anaweza kua kiongozi kwenye dini ya kislamu?
Mimi Mkristo usijiondoe ufahamu. Mimi ni Seventh-day Adventists tunawajua nyie katoliki mlichinja watu wengi sana kutoka ukristo wa Protestanti.
Mnaabudu sanamu
 
Matukio mabaya yaliyotokea si ya kidini Wala madhehebu...! Ni matukio yaliyowagusa Watanzania wote. Kujaribu kujadili matukio haya mabaya kwa misingi ya tofauti za kidini, ni sawa na kushiriki matukio hayo mabaya na yawezekana, utakuwa mnufaika wa uovu uliotokea!!?
 
Tunawajua nyie mlengwa ni mmoja tu. Tumewashitukia hatununui unafiki wenu.
 
Watu sasa hivi hawako pushed na dini zao kwenye mambo ya siasa!

Ni wajinga wachache tu ndiyo wanpangiwa ndiyo maana kuna vijana wengi tu wa kiislamu waliandamana licha ya hao mashehe kutoa matamko.
 
Watu sasa hivi hawako pushed na dini zao kwenye mambo ya siasa!

Ni wajinga wachache tu ndiyo wanpangiwa ndiyo maana kuna vijana wengi tu wa kiislamu waliandamana licha ya hao mashehe kutoa matamko.
Uongo
 
Back
Top Bottom