President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
...Wale Maimamu kumbe ni wakatoliki? Mambo ya Udini mtaokota watu wapumbavu nyie mmekataliwa na wananchi mmekimbilia kujiapisha heti vituo vya kupigia kura vilikua vingi hoja za Udini mnazojitahidi kuzileta hazitawasandia bali zitawamaliza
Vipi kuhusu CCT mdogo wangu umesoma tamko lao?...
Wamekusikia ila wanajifanya km vile hawakusikii na hilo andiko hajalisoma vizuri mwambie alisome vizuri aelewe
Soma tena walichoandika kwa makini acha ukurupukaji na kuingiza udini kwenye issue serious km hii, ukitulia soma tena upya uelewe walichokiandika acha kua chawa malaya malayaVipi kuhusu CCT mdogo wangu umesoma tamko lao?
Hii hoja ya Udini ameileta Yule aliemwagiza Rais apige watu risasi lakini nayo haitatoboa karne hii uniletee udini wakati ufisadi ulifanya peke yako utekaji ulikua unatekaji ulifanya mwenyewe unigombanishe nda Ndugu zangu Wakatoliki au Waislamu kwa upumbavu wako haiwezini sisi huku mtaani tunaishi vizuri hoja ya Udini hazitawasandia maana mmeishiwa hojaVipi kuhusu CCT mdogo wangu umesoma tamko lao?
Huyu ni mpumbavu...
Wamekusikia ila wanajifanya km vile hawakusikii na hilo andiko hajalisoma vizuri mwambie alisome vizuri aelewe
Unataka Umoja wa Waganga wa kienyeji nao watoe tamko?Hii hoja ya Udini ameileta Yule aliyemwagiza Rais apige watu risasi lakini nayo haitatoboa karne hii uniletee udini wakati ufisadi ulifanya peke yako utekaji ulikua unatekaji ulifanya mwenyewe unigombanishe nda Ndugu zangu Wakatoliki au Waislamu kwa upumbavu wako haiwezini sisi huku mtaani tunaishi vizuri hoja ya Udini hazitawasandia maana mmeishiwa hoja
Unataka Umoja wa Waganga wa kienyeji nao watoe tamko?
Unataka Umoja wa Waganga wa kienyeji nao watoe tamko?
Unataka Umoja wa Waganga wa kienyeji nao watoe tamko?
Mmeishiwa hoja hiyo Bakwata nani hasiyejua imeanzishwa na Nyerere sasa mmebanwa mnakimbilia kwenye udini kugawa watu kwasababu ya Upumbavu wenu na tulikua tunawaonya humu kabla ya October 29 kwenye udini mtajizamisha wenyewe someni nyakati mmekataliwaUnataka Umoja wa Waganga wa kienyeji nao watoe tamko?
Hicho kiswahili kinaonesha wewe ni mbumbumbu. Wewe ni zero brainMmeishiwa hoja hiyo Bakwata nani hasiyejua nimeanzishwa na Nyerere sasa mmebanwa mnakimbilia kwenye udini kugawa watu kwasababu ya Upumbavu wenu na tulikua tunawaonya humu kabla ya October 29 kwenye udini mtajizamisha wenyewe someni nyakati mmekataliwa
Sawa Lakin ilo haliwezi kuondoa kwamba Bakwata imeanzishwa na NyerereHicho kiswahili kinaonesha wewe ni mbumbumbu. Wewe ni zero brain
Weka ushahidi.Sawa Lakin ilo haliwezi kuondoa kwamba Bakwata imeanzishwa na Nyerere
Kama huwezi kujua ili suala naweza kusema wewe ni mpumbavu kasome EAMWS Nyerere alifuta 1968 na kuanzisha BAKWATA hiyo taasisi ni Uchafu kama ilishidwa hata kukemea Mauaji ya mzee Ally Kibao hiyo ni upumbavu mtupuWeka ushahidi.