Kwanini CCT, Waislam na Madhehebu ya Walokole wanamuunga mkono Mh. Dkt Samia Suluhu lakini Wakatoliki wanampinga?

Kama huwezi kujua ili suala naweza kusema wewe ni mpumbavu kasome EAMWS Nyerere alifuta 1968 na kuanzisha BAKWATA hiyo taasisi ni Uchafu kama ilishidwa hata kukemea Mauaji ya mzee Ally Kibao hiyo ni upumbavu mtupu
Bila ushahidi ni porojo za vijiwe vya kahawa tu. Kwikwikwikwikwi
 
Weka ushahidi.
Acha kudhihirisha upumbavu wako, yaani seriously haufahamu BAKWATA imeanzishwaje? Haufahamu kama mufti anahudumuwa na serikali? Mengine bishaneni lakini acha kuonyesha upumbavu kwenye vitu ambavyo viko wazi kabisa.
 
Wewe ndiye mpumbavu usiye na ushahidi Kwikwikwikwikwi unatuletea story za vijiweni unadhani sisi ni wajinga wenzako?
 
Usituchafue walokole hatuwezi kuungana na unyama hivyo,
 
Wewe ndiye mpumbavu usiye na ushahidi Kwikwikwikwikwi unatuletea story za vijiweni unadhani sisi ni wajinga wenzako?
If you don't know it then I can't help you, let's agree to disagree on the matter.
 
Sisi wapentekoste hatuungi mkono upuuzi wowote,
 
Wapi CCT wamemuunga mkono huyo uliyemtaja na kwenye nini wamemuunga mkono!!??
Unapiga propaganda za mwaka 47.
 
Uislamu unatoa inasema kuhusu uongozi mwanamke kalusiwa kua kiongozi anaweza kua kiongozi kwenye dini ya kislamu?
Mimi Mkristo usijiondoe ufahamu. Mimi ni Seventh-day Adventists tunawajua nyie katoliki mlichinja watu wengi sana kutoka ukristo wa Protestanti.
Mnaabudu sanamu
 
Matukio mabaya yaliyotokea si ya kidini Wala madhehebu...! Ni matukio yaliyowagusa Watanzania wote. Kujaribu kujadili matukio haya mabaya kwa misingi ya tofauti za kidini, ni sawa na kushiriki matukio hayo mabaya na yawezekana, utakuwa mnufaika wa uovu uliotokea!!?
 
Tunawajua nyie mlengwa ni mmoja tu. Tumewashitukia hatununui unafiki wenu.
 
Watu sasa hivi hawako pushed na dini zao kwenye mambo ya siasa!

Ni wajinga wachache tu ndiyo wanpangiwa ndiyo maana kuna vijana wengi tu wa kiislamu waliandamana licha ya hao mashehe kutoa matamko.
 
Watu sasa hivi hawako pushed na dini zao kwenye mambo ya siasa!

Ni wajinga wachache tu ndiyo wanpangiwa ndiyo maana kuna vijana wengi tu wa kiislamu waliandamana licha ya hao mashehe kutoa matamko.
Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…