Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.

Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Anaongoza majeshi manne.
1. Nchi kavu
2.Anga
3.Maji
4. Intelkigence
Ongeza pia JKT.
 
Kuhusu kuita Jeshi la Taifa kuwa na neno la Ulinzi/Defence ni sababu ya Kisiasa na doctrine ya nchi husika.

Majeshi yenye neno Defence yanamaanisha kuwa “A country will not seek to expand using military force and military will be for defensive purposes only”

Otherwise Kama nchi haitaweka neno Ulinzi/defence kwenye jeshi lake maana yake they are willing to use forces outside the border to achieve a national interests
 
Back
Top Bottom