Kwanini CHADEMA bado inastahili kuadhibiwa kwenye sanduku la kura? Soma hapa

Hizi ni akili za mtu mzima kuzidi kung'ang'ania kuishi nyumbani kwa shemeji yake hata kama haitajiki tena.
 


Ushajiita Mama Samia 2025, tayari sababu kubwa ni profila jina yake, mengine porojo, ujinga, umbea na uzandiki.
 
Kuwashinda cdm kihalali kupitia box la kura imeshashindikina, unapoona uporaji wa chaguzi ujue kuwashinda kihalali haiwezekani tena. Ukitaka kujua uwezo wa ccm kwenye box la kura, kaangalie kampeni za uchaguzi mdogo wa mbarali ambao cdm hawashiriki jinsi ulivyododa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…