NTIGAHELA
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 365
- 257
Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa:
1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations
2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG?
3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki kuu na muelekeo wa uchumi wa nchi
Sasa hivi wako busy kumshambulia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Wamesahau kuwa:
1. Chama chao ndo kinaogoza kwa viongozi wao kuunga mkono juhudi na kwenda CCM
Chadema itueleze, kama viongozi wake siyo mamluki
inakuwaje Makatibu wake wakuu wawili wameunga mkono siasa za CCM huku Wabunge wake lukuki na wajumbe wa kamati kuu wakiunga mkono juhudi?
1. Yuko wapi Dr Slaa, Dr Mashinji, Nassari, Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, Katambi
2. Ilikuwaje kwa Katambi mwenyekiti wao wa BAVICHA, Halima Mdee mwenyekiti wa BAWACHA, Matiko, Bulaya, Hanje?
Kwa data hizo, nani CCM zaidi yao?
By the way, Nyie ndo mlimuita mzee Lowasa kila aina ya jina baya halafu mkatoka hapo mkamfanya yeye kuwa ndiye mgombea wa chama chenu mwaka 2015-Sasa hapo mtaaminikaje?
Mwacheni kiongozi wa Chama cha ACT ndugu Zitto afanye kazi yake.