Kwanini CHADEMA hampendi ACT-Wazalendo ifanye siasa zake?

MUkya,

Kamsaidie makengeza kubeba mtondo aliomwaga jana usiku.

Huwa nacheka sana nikipiga ngumi ya jicho, na kuona bendera fuata upepo wa aina yako akitapika Makande yaliyochacha. Na uzuri wangu bendera fuata upepo wote huwa nawamudu. Hapo tayari kisimi nimeshakirudishia ndani ya housing, hivyo lazima ukae kwa kutulia.
 
Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa:
1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations
2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG?
3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki kuu na muelekeo wa uchumi wa nchi

Sasa hivi wako busy kumshambulia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Wamesahau kuwa:
1. Chama chao ndo kinaogoza kwa viongozi wao kuunga mkono juhudi na kwenda CCM

Chadema itueleze, kama viongozi wake siyo mamluki
inakuwaje Makatibu wake wakuu wawili wameunga mkono siasa za CCM huku Wabunge wake lukuki na wajumbe wa kamati kuu wakiunga mkono juhudi?

1. Yuko wapi Dr Slaa, Dr Mashinji, Nassari, Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, Katambi
2. Ilikuwaje kwa Katambi mwenyekiti wao wa BAVICHA, Halima Mdee mwenyekiti wa BAWACHA, Matiko, Bulaya, Hanje?

Kwa data hizo, nani CCM zaidi yao?

By the way, Nyie ndo mlimuita mzee Lowasa kila aina ya jina baya halafu mkatoka hapo mkamfanya yeye kuwa ndiye mgombea wa chama chenu mwaka 2015-Sasa hapo mtaaminikaje?

Mwacheni kiongozi wa Chama cha ACT ndugu Zitto afanye kazi yake.
Kwani CHADEMA Ina Dola mpaka imzuie Zitto?
Kama umetumwa,SEMA
 
Wakae wap sasa 😂😂😂maan kila wakijaribu kukaa na kuweka mikakati yao, geshi lenye intelijensia kali lishafika na kuzuia hicho kikao au mkuatano
 
Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa:
1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations
2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG?
3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki kuu na muelekeo wa uchumi wa nchi

Sasa hivi wako busy kumshambulia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Wamesahau kuwa:
1. Chama chao ndo kinaogoza kwa viongozi wao kuunga mkono juhudi na kwenda CCM

Chadema itueleze, kama viongozi wake siyo mamluki
inakuwaje Makatibu wake wakuu wawili wameunga mkono siasa za CCM huku Wabunge wake lukuki na wajumbe wa kamati kuu wakiunga mkono juhudi?

1. Yuko wapi Dr Slaa, Dr Mashinji, Nassari, Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, Katambi
2. Ilikuwaje kwa Katambi mwenyekiti wao wa BAVICHA, Halima Mdee mwenyekiti wa BAWACHA, Matiko, Bulaya, Hanje?

Kwa data hizo, nani CCM zaidi yao?

By the way, Nyie ndo mlimuita mzee Lowasa kila aina ya jina baya halafu mkatoka hapo mkamfanya yeye kuwa ndiye mgombea wa chama chenu mwaka 2015-Sasa hapo mtaaminikaje?

Mwacheni kiongozi wa Chama cha ACT ndugu Zitto afanye kazi yake.
Act sio Chama cha Upinzani ni TAWI la CCM
 
Back
Top Bottom