Kwanini CHADEMA hawataki tuwahoji kuhusu utendaji wa wabunge na madiwani wao?

Kwanini CHADEMA hawataki tuwahoji kuhusu utendaji wa wabunge na madiwani wao?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ukitaka kuoga matusi humu jamvini waulize wanachadema wakwambie ni nini wabunge na madiwani wao walikifanya baada ya kupewa dhamana mwaka 2015?

Kuna hoja ya kusema eti hawakuwa na dola lakini ukweli ni kuwa zipo halmashauri nyingi zilikuwa chini ya Chadema na hawakuja na lolote.
 
Nenda kahoji kongwa,mbunge wao anatumia mabilioni kutibu marukanga, huku wananchi wake ni mafukara na ombaomba wamejazana Dar, Dom, Moro. Kweli CCM kumejaa wajinga tupu kama jina lako.
 
Huwezi kufananisha majimbo ya Chadema na CCM mfano mbeya mjini huwezi kufananisha na eneo lolote mkoani mbeya
Labda ngoja nikupe mtazamo wangu tu.

Tunduma, Mbozi na Mbeya mjini ni maeneo yaliyoendelea sana ukilinganisha na vwawa ileje Songwe mbarali rungwe na Kyela ambako CCM wameyashika majimbo hayo toka Uhuru BT ni ya kawaida sana an
 
Nenda kahoji kongwa,mbunge wao anatumia mabilioni kutibu marukanga,huku wananchi wake ni mafukara na ombaomba wamejazana dar,dom,moro...kweli ccm kumejaa wajinga tupu kama jina lako
Tuongelee wabunge wenu ambao kipindi kile mliuaminisha umma kuleta mabadiliko.
 
Nenda kahoji kongwa,mbunge wao anatumia mabilioni kutibu marukanga,huku wananchi wake ni mafukara na ombaomba wamejazana dar,dom,moro...kweli ccm kumejaa wajinga tupu kama jina lako
Kazi mbunge sio kukuletea hela mfukoni mkuu fanya kazi kwa bidii maisha sio lelemama
 
Tuandae mdahalo wa wagombea urais, halafu hayo yote yakazungumzwe hapo
 
Hii inanikumbusha ile 1.5 trilion aliyoizungumzia assad kipindi fulani
 
Huwezi kufananisha majimbo ya chadema na ccm mfano mbeya mjini huwezi kufananisha na eneo lolote mkoani mbeya
Labda ngoja nikupe mtazamo wangu tu.

Tunduma,mbozi na mbeya mjini ni maeneo yaliyoendelea sana ukilinganisha na vwawa ileje songwe mbarali rungwe na kyela ambako ccm wameyashika majimbo hayo toka Uhuru BT ni ya kawaida sana.
Nataka uniambie Mbeya Mjini Sugu alifanya A,B,C,D....niletee initiative ya Sugu hapo Mbeya mjini na sio blah blah za kujiita kamanda.
nijuavyo SERIKALI YA CCM imekarabati shule ya Iyunga kwa 1B.
 
Lakini unatambua mapato ya halmashauri awamu hii ya tano yanakwenda hazina?
 
Mwambie akubali mdahalo upate jibu
Nchi ipo katika kutekeleza sio kujadili.

By the way mna sera yoyote mpya ya kuijadili au mmekopi na kupaste vipengele vya ilani ya CCM na mkavikosea.
 
Nchi ipo katika kutekeleza sio kujadili.

By the way mna sera yoyote mpya ya kuijadili au mmekopi na kupaste vipengele vya ilani ya CCM na mkavikosea
Kukopi ruksa, kama tulivyokopi ile sera ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi, na milioni 50 kila kijiji
 
Back
Top Bottom