Tuongelee wabunge wenu ambao kipindi kile mliuaminisha umma kuleta mabadiliko.Nenda kahoji kongwa,mbunge wao anatumia mabilioni kutibu marukanga,huku wananchi wake ni mafukara na ombaomba wamejazana dar,dom,moro...kweli ccm kumejaa wajinga tupu kama jina lako
Kazi mbunge sio kukuletea hela mfukoni mkuu fanya kazi kwa bidii maisha sio lelemamaNenda kahoji kongwa,mbunge wao anatumia mabilioni kutibu marukanga,huku wananchi wake ni mafukara na ombaomba wamejazana dar,dom,moro...kweli ccm kumejaa wajinga tupu kama jina lako
Nataka uniambie Mbeya Mjini Sugu alifanya A,B,C,D....niletee initiative ya Sugu hapo Mbeya mjini na sio blah blah za kujiita kamanda.Huwezi kufananisha majimbo ya chadema na ccm mfano mbeya mjini huwezi kufananisha na eneo lolote mkoani mbeya
Labda ngoja nikupe mtazamo wangu tu.
Tunduma,mbozi na mbeya mjini ni maeneo yaliyoendelea sana ukilinganisha na vwawa ileje songwe mbarali rungwe na kyela ambako ccm wameyashika majimbo hayo toka Uhuru BT ni ya kawaida sana.
Mwambie akubali mdahalo upate jibuMwambie aandae jibu la kwa nini CDM haina Ofisi hadi leo
siyo kweli nn Sasa?shida yenu IQ ndogo mnaotetea chama chenuSio kweli....
Kukopi ruksa, kama tulivyokopi ile sera ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi, na milioni 50 kila kijijiNchi ipo katika kutekeleza sio kujadili.
By the way mna sera yoyote mpya ya kuijadili au mmekopi na kupaste vipengele vya ilani ya CCM na mkavikosea