Wamechemka. Ingawaje si kazi ya msingi ya wabunge kusaidia miundombinu lakini wanaweza. Kama wanaweza kujaza watu kwenye mikutano na wanaweza wanaomba kuchangiwa kutoka jela au kufanya kampeni na kuchangiwa mamilioni wanaweza pia kuleta maendeleo kwenye jamii.
Tufike wakati tuache hizi siasa za kuwa na malaika mmoja anayeamua huku kufanyike nini kwingine kusifanyike. Tuko wengi sana kuweka hatma zetu kwa mtu mmoja ni upuuzi.
Mkuu barabara nyingi za Kigoma mjini zimepigwa lami,Zao lamichikichi limefufuliwa, ushuru hakmashauri ilikuwa imepandisha, lkn wakashusha ,maendeleo mengi yamefanyika ndani ya hii miaka mitano chini ya ubunge wa Zitto , nani apongezwe kati ya Zitto na Serikali?.ni muda wa hukumu kwa wale wabunge wa chadema waliopewa fursa
Halmashauri zote zilinyang'anywa vyanzo vya mapato, na mwenye mamkaka na fungi la halmashauri ni mkurugenzi, ambaye ni mteule wa mwwnyekiti wa CCM, tafakari!Ukitaka kuoga matusi humu jamvini waulize wanachadema wakwambie ni nini wabunge na madiwani wao walikifanya baada ya kupewa dhamana mwaka 2015?
Kuna hoja ya kusema eti hawakuwa na dola lakini ukweli ni kuwa zipo halmashauri nyingi zilikuwa chini ya Chadema na hawakuja na lolote.
Hawana majibu.Ukitaka kuoga matusi humu jamvini waulize wanachadema wakwambie ni nini wabunge na madiwani wao walikifanya baada ya kupewa dhamana mwaka 2015?
Kuna hoja ya kusema eti hawakuwa na dola lakini ukweli ni kuwa zipo halmashauri nyingi zilikuwa chini ya Chadema na hawakuja na lolote.