johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
I thought he is old enough to realize that.Uchumi unaanza na mabadiliko ya mfumo wa Uongozi.
Hizo takwimu watasikiliza na kuelewa wachache.Naelewa Chadema haina Watu waliobobea kwenye Uchumi lakini Mazingira ya Dunia ya Leo yameruhusu kila Mtu kuuelewa Uchumi locally, continentally and Globally
Ndio sababu Waziri wa Uchumi siyo mchumi hata mkuu wa Ubinafsishaji David Kafulila siyo mchumi lakini wanatimiza majukumu yao vizuri tu
Sasa kwanini Chadema hampendi kuchambua Uchumi hata kwa kumtumia yule Mhasibu CPA Ruge?
Mnaogopa nini?
Nimekaa pale 🐼
Waafrika hatupendi vitu vigumu vigumu sijui hata kwanini, Kuna lecture wangu aliwahi niambia ana wasiwasi wastani wa IQ kwa population yetu ni mdogo ukilinganisha na jamii za mabara mengineHizo takwimu watasikiliza na kuelewa wachache.
Ukitaka mtanzania asikuelewa tumia namba katika kueleza mambo.
Ningekuwa mwanasiasa nataka kuwaeleza jambo watanzania mfano upigaji labda wa bilioni 8.
Ningetumua mifano inayoendana na nlipo. Kama wana shida ya maji ningesema wamepiga bilioni nane fedha ambayo ingeweza kujenga visima vya maji 100 mkaondokana na tatizo la maji.
Kama shuda ni barabara ningesema fedha ambayo ingeweza kujenga barabra ya lami toka kijiji fulani hadi fulani.
Kwanza takwimu ni watanzania wachache ambao huwa wanaziverify ndiyo maana january makamba aliwahi soma report yenye kutofautina na takwimu halisi.
wanahisi hitaji kubwa la wananchi ni wao kupa ta vyeo, basi.Naelewa Chadema haina Watu waliobobea kwenye Uchumi lakini Mazingira ya Dunia ya Leo yameruhusu kila Mtu kuuelewa Uchumi locally, continentally and Globally
Ndio sababu Waziri wa Uchumi siyo mchumi hata mkuu wa Ubinafsishaji David Kafulila siyo mchumi lakini wanatimiza majukumu yao vizuri tu
Sasa kwanini Chadema hampendi kuchambua Uchumi hata kwa kumtumia yule Mhasibu CPA Ruge?
Mnaogopa nini?
Nimekaa pale 🐼
Wakiamua wanawezaYani akina mdude na lema ndiyo wachambue uchumi 🤔🤣🤣
Naelewa Chadema haina Watu waliobobea kwenye Uchumi lakini Mazingira ya Dunia ya Leo yameruhusu kila Mtu kuuelewa Uchumi locally, continentally and Globally
Ndio sababu Waziri wa Uchumi siyo mchumi hata mkuu wa Ubinafsishaji David Kafulila siyo mchumi lakini wanatimiza majukumu yao vizuri tu
Sasa kwanini Chadema hampendi kuchambua Uchumi hata kwa kumtumia yule Mhasibu CPA Ruge?
Mnaogopa nini?
Nimekaa pale 🐼
Kwahiyo mnasubiri kwanza mabadiliko ya Uongozi? 😀Uchumi unaanza na mabadiliko ya mfumo wa Uongozi.
Kama bongolala Samia anaweza kuwa rais basi hawa wanaweza kuwa waalim wakeYani akina mdude na lema ndiyo wachambue uchumi 🤔🤣🤣
Saudia na nchi za kiarabu zina utawala wa kifalme mbona zina uchumi mzuri na hawahangaiki na makatiba yenuUchumi unaanza na mabadiliko ya mfumo wa Uongozi.
Uchumi wa Tanzania unauchambuaje kwa kuchambua kipato cha mtu mmoja mmoja kwa mfumo wa kujumlisha idadi ya pesa zilizoko kwenye mabenki ambazo wengine siyozakwao na kugawanya kwa idadi ya watanzania wote, kikikikiNaelewa Chadema haina Watu waliobobea kwenye Uchumi lakini Mazingira ya Dunia ya Leo yameruhusu kila Mtu kuuelewa Uchumi locally, continentally and Globally
Ndio sababu Waziri wa Uchumi siyo mchumi hata mkuu wa Ubinafsishaji David Kafulila siyo mchumi lakini wanatimiza majukumu yao vizuri tu
Sasa kwanini Chadema hampendi kuchambua Uchumi hata kwa kumtumia yule Mhasibu CPA Ruge?
Mnaogopa nini?
Nimekaa pale 🐼
Umenikumbusha tume za kuchunguza ufisadi zinaundwa nyuma ya mikamera majibu ya hizo tume nyuma ya paziaHizo takwimu watasikiliza na kuelewa wachache.
Ukitaka mtanzania asikuelewa tumia namba katika kueleza mambo.
Ningekuwa mwanasiasa nataka kuwaeleza jambo watanzania mfano upigaji labda wa bilioni 8.
Ningetumua mifano inayoendana na nlipo. Kama wana shida ya maji ningesema wamepiga bilioni nane fedha ambayo ingeweza kujenga visima vya maji 100 mkaondokana na tatizo la maji.
Kama shuda ni barabara ningesema fedha ambayo ingeweza kujenga barabra ya lami toka kijiji fulani hadi fulani.
Kwanza takwimu ni watanzania wachache ambao huwa wanaziverify ndiyo maana january makamba aliwahi soma report yenye kutofautina na takwimu halisi.
Huna akili, kwahiyo serikali ikikopa kwa hao wazungu ni halali ila siku ukisikia chadema inafadhiliwa na wazungu inageuka haramu? EmbicileWaongee uchumi muanze kuhoji nje ya ruzuku kutoka serikalini pesa nyingine zinatoka kwa kina nani? (Hapa lazima upate kiungulia)
Upande wa takwimu mtafute kafulilaNaelewa Chadema haina Watu waliobobea kwenye Uchumi lakini Mazingira ya Dunia ya Leo yameruhusu kila Mtu kuuelewa Uchumi locally, continentally and Globally
Ndio sababu Waziri wa Uchumi siyo mchumi hata mkuu wa Ubinafsishaji David Kafulila siyo mchumi lakini wanatimiza majukumu yao vizuri tu
Sasa kwanini Chadema hampendi kuchambua Uchumi hata kwa kumtumia yule Mhasibu CPA Ruge?
Mnaogopa nini?
Nimekaa pale 🐼
One at time. You cannot eat the cake and still have. There is no way you can make your self better off without making another worse off ( pareto optimality)Naelewa Chadema haina Watu waliobobea kwenye Uchumi lakini Mazingira ya Dunia ya Leo yameruhusu kila Mtu kuuelewa Uchumi locally, continentally and Globally